Siku ambayo Kikwete anaondoka madarakani nitaiadhimisha kila mwaka

S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
33,227
Likes
72,710
Points
280
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
33,227 72,710 280
Tangu nchi hii ipate uhuru,hakuna awamu ambayo taifa limepata hasara kubwa na ya kutisha kutokana na wizi na ufisadi wa kiwango cha juu kama awamu hii ya Kikwete.

Ni katika awamu hii wanyama wamepandishwa ndege na kuuzwa nje ya nchi;ni katika awamu hii kashifa za wizi wa mabilioni ya fedha za umma zimetokea na wezi kulindwa;pia,ni katika awamu hii,operation za kinyama kama "tokomeza" zimetendeka;ni katika utawala huu watu wameng'olewa kucha na meno bila ganzi na kisha kutupwa wakiwa mahututi;ni katika awamu hii ambapo wezi wa mabilioni ya umma wamesamehewa na ni katika awamu hii pia,ndugu zetu albino wameuwawa kinyama huku serikali ikishindwa kuwalinda.

Jambo lingine baya kabisa ni unyama wa Jeshi la polisi katika kudhibiti wapinzani na hata kutuhumiwa kuua raia kwa risasi na mabomu.Tuhuma za mabomu ya Arusha na kwingineko kila mtu amezisika.

Mfano mbaya kuliko wote ni mauaji ya Daudi Mwangosi ambayo polisi wanatuhumiwa kuyatekeleza na kwa mshangao wa wengi, RPC mtuhumiwa akapandishwa cheo.

Vile vile bila kusahau mgomo wa madaktari na jinsi serikali hii ilivyoumaliza bila kusahau madhara ya mgomo huo kwa wagonjwa wasio na hatia.

Pia,ni katika awamu hii maoni ya wananchi katika kupata katiba mpya yametupwa bila huruma.

Haya yote yametokea katika awamu hii ya JK ambapo watuhumiwa wengi bado wanapeta uraiani!!

Kwasababu hizo,bila kujali nani amtamrithi JK,nina kila sababu ya kusheherekea kuondoka madarakani kwa Kikwete na ni imani yangu nchi itaapumua.

Hiyo siku kila mwaka kama ni kuchinja mbuzi nitachinja,kama ni vinywaji, basi idadi na variety kwa siku hiyo itaongezeka na pia nitawaombea dua wale wote walioathirika kwa namna moja au nyingine na utawala huu.
 
L

laki si pesa.

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Messages
10,046
Likes
8,761
Points
280
L

laki si pesa.

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2015
10,046 8,761 280

We jamaa unafiki umekuzidi.JK humtaki.Magufuli humtaki..unamtaka nani.Mbowe?
 
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
33,227
Likes
72,710
Points
280
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
33,227 72,710 280
Haya sasa wale nyumbu waliokuwa hawanielewi leo hukumu kuhusu sakata la Escrow limethibitishi nilikuwa sahihi ingawa madudu ya aina hiyo hata awamu yanaendelea.

Kwa ujinga wao wanadhani kama awamu hii inavurunda basi nilikosea kusema nitasgangilia JK kuondoka madarakani wanasahau kuwa wao ndio vinara wa kusema awamu hii ni bora kuliko iliyopita.

Endeleeni kuwa wajinga na kudhani hizi hasara zitabebwa na wapinzani tu ili hali wote tunalipa kodi.

Siku ambayo Kikwete anaondoka madarakani nitaiadhimisha kila mwaka - JamiiForums
 
Mndali ndanyelakakomu

Mndali ndanyelakakomu

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2016
Messages
11,442
Likes
25,500
Points
280
Age
29
Mndali ndanyelakakomu

Mndali ndanyelakakomu

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2016
11,442 25,500 280
Haya sasa wale nyumbu waliokuwa hawanielewi leo hukumu kuhusu sakata la Escrow limethibitishi nilikuwa sahihi ingawa madudu ya aina hiyo hata awamu yanaendelea.

Kwa ujinga wao wanadhani kama awamu hii inavurunda basi nilikosea kusema nitasgangilia JK kuondoka madarakani wanasahau kuwa wao ndio vinara wa kusema awamu hii ni bora kuliko iliyopita.

Endeleeni kuwa wajinga na kudhani hizi hasara zitabebwa na wapinzani.
Mkuu umeandika nini hiki

Naomba kueleweshwa
 
Mndali ndanyelakakomu

Mndali ndanyelakakomu

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2016
Messages
11,442
Likes
25,500
Points
280
Age
29
Mndali ndanyelakakomu

Mndali ndanyelakakomu

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2016
11,442 25,500 280
Nyumbu wa Lumumba wanaelewa.
Mkuu na kuheshimu ila unaonekana unataka kusema vitu ambavyo sivijui nahitaji kueleweshwa na kunielewesha Mimi sio tatizo tatizo ni pale unapo anza matusi kuita nyumbu wa Lumumba
 
Eli79

Eli79

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Messages
21,786
Likes
16,150
Points
280
Eli79

Eli79

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2013
21,786 16,150 280
Unajisimulia mwenyewe mkuu, andika ili ueleweke. Acha kujisimulia.
 
thetallest

thetallest

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2017
Messages
3,951
Likes
3,461
Points
280
thetallest

thetallest

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2017
3,951 3,461 280
Haya sasa wale nyumbu waliokuwa hawanielewi leo hukumu kuhusu sakata la Escrow limethibitishi nilikuwa sahihi ingawa madudu ya aina hiyo hata awamu yanaendelea.

Kwa ujinga wao wanadhani kama awamu hii inavurunda basi nilikosea kusema nitasgangilia JK kuondoka madarakani wanasahau kuwa wao ndio vinara wa kusema awamu hii ni bora kuliko iliyopita.

Endeleeni kuwa wajinga na kudhani hizi hasara zitabebwa na wapinzani.
Kinyesi tu hiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nyakubonga

nyakubonga

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Messages
1,584
Likes
1,642
Points
280
nyakubonga

nyakubonga

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2015
1,584 1,642 280
Duh hua najua,

-nyumbu =chadema

-fisiemu =ccm

lini mmebadilishana majina?
 
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
9,540
Likes
11,803
Points
280
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
9,540 11,803 280

Forum statistics

Threads 1,262,477
Members 485,588
Posts 30,123,273