Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 47,742
- 40,955
Tume huru ipo kama alivyoiacha
Kipindi chake kilikuwa Cha kwanza siasa za vyama vingi na alikiendesha vizuri sana kwa ukweli na uwazi ndo maana hatukuona watu wanapotea, wanatekwa, wanauawa na wasiojulikana na wapinzani wanabambikiwa kesi za uchochezi, kuhujumu uchumi na utakatishaji fedha. Mrithi wake, Mh Kikwete, ndo Rais pekee aliyeingia madarakani kwa uwezo na juhudi zake bila kubebwa na mtu yeyote kwa sababu ya uongozi mzuri wa marehemu.Kipind chake kwanini hakutaka tume huru?
Mazingira ya Jiwe kuondoa ukomo wa vipindi 2 vya Urais yanakuja taraatibu.
Kuchelewa kujua siyo ujinga unapo kuwa nje na ndani ya ulingo una mengi ya kujifunza 'Sharing experiences is very good than keeping quite'Kwanini hajaiunda kwenye kipindi chake cha uongozi, hasa awamu yake ya kwanza?
Endelea kulala mkuuUnajua ndio naamka sasa hivi nawasha data nakutana na habari za kifo cha BWM hapa jamvini ni kweli kafa au propaganda zenu tu?
Maana mpaka sasa sielewi kama ni kweli au uzushi