Siku 365 na robo/366!!

Sirm

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
544
334
Habari wana jf, tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka nimekumbuka mambo tuliokua tunafundishwa shuleni kuwa mwaka una siku 365 na1/4 kwa mwaka mfupi na siku366 kwa mwaka mrefu,

1)Swali langu ni vipi hiyo siku robo inavyopatikana?

2)Huo mwaka wenye siku 366 kwann haina siku robo

Asanteni naomba kueleweshwa
 
1) kila Mwaka mmoja dunia hutumia siku 365 na masaa 6 kulizunguka jua (Massa 6 ndio robo siku), lkn kuondoa utata wataalam hufanya ifuatavyo
- uzikusanya hizo robo robo mpaka kwa miaka minne na kuwa siku moja na kuzihamishia na kupata mwaka wa siku 366 yaani leap year.
-ndo maana mwaka wa siku 366 hutokea kila baada ya miaka minne na always huwa unagawanyika kwa nne 4,8,2012,2016 nk
 
Asante kwa ufafanuzi wako lakini ningependa unifafanulie inakuwaje wazikusanye hizo robo wakati kila mwaka zinatumika?!
Kwa hiyo hakuna mwaka wenye siku 366?
 
vitu vingine unapotezea sio mpaka ujue kila kitu mwisho utauliza faru john na binadamu nani ana thamani
 
Jamani hakusimamisha jua alisimamisha sayari kuzunguka,kwa hiyo ukiwa duniani unaona kama jua limesimama.Biblia iliandika kutoka kwenye mtazamo was MTU akiw duniani ataina nini.Lakini kwa sababu Mungu anajua umesa sayansi alijua utajua ni mini kimetokea beyond duniani.
 
Kibiblia kuna mtu alisimisha jua ninaamini huyu ndiye alisababisha haya maana jua lilisima.
Naona hapa kuna wanasansi walichakachua biblia. Kama science haiamini ktk dini ikaweje hii ikapita kirahisirahisi na kukubalika na wote
 
Back
Top Bottom