Siku 33 za kufunga na kuiombea Ukraine

Ngoke

Senior Member
Jun 14, 2020
122
185
Wapendwa nachukua nafasi hii kutaja hadharani kuwa ni kipindi cha vita nchini Ukrain kuisha na mateso kwingineko yatokanayo na vita hiyo.

Mungu mwenyewe atawaua wote wanaohusika na kusababisha vita hivyo kabla ya kufika tarehe 01/1/2023.
Wote wanaowaombea Ukrain, USA, NATO na washirika wake kwa pamoja tufunge na kuomba ili vita iishe

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
American nigga

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
605
746
l
giphy.gif
 
Sandali Ali

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
8,509
22,122
Huo ni ujuha na kukosa akili za Kiroho.
Ulishindwa kuifunga hiyo vita kabla haijatokea leo ndo unakuja na ujuha huu?
Mungu angetaka kukupa kazi ya kukomesha hiyo vita angekupa kabla haijaanza na ungeistopisha.
Huo unaoufanya ni ujinga wa Kiroho.
Uache kula kwasababu ya Ukraine ilhali Tanzania maelfu wanakufa kwa magonjwa na lishe duni kwasababu ya umaskini. Hilo hulioni?
 
Mrengwa wa kulia

JF-Expert Member
Mar 21, 2022
776
2,859
kuna group telegram linaitwa horror of war.
tuache masihara nyie warusi wanakufa jaman acha.
tuache tofauti zetu tuwaombee askar wa kirusi. yani ni wanakufa acha.

hivi jana nmeskia wanataka kufanya mobilizations nyingine.

kaaah!!! wanakufa jaman kama mbwa.
acha kushabikia vita na tuwaombee warusi wasife sana jaman.

nmeshindwa kuendelea na ile channel nmeleft in peace.
kama mbwa?

au nitupia picha zao nini. ?
ili mpate uchungu wa kuomba kama binadamu binafsi nimeguswa.

mkiona russia inatarget raia muwe mnaelewa.
hawana jinsi wanapitia maumiv makubwa sana ya kisaikolojia juu ya askar wao. walio kuwa mbolea.
kama bkhmut ndio paua kichwa kabisaaa.
pray for russians.
wanakufa wanakuja wengine wanakufa wanakuja wengine na wengine na wengine.

PUTIN stop killing your soldier
 
kt the irreplaceable

JF-Expert Member
Oct 12, 2017
2,099
4,173

kweli?
 
Cucciolo mia

Member
Nov 1, 2022
75
124
Kuna watoto wa mtaani unawapita kila siku wamelala vibarazani usiku utafkiri huwaoni, hata kilo ya sukari hujawahi kugawa kwenye kituo cha yatima, kijijini kwenu wanakunywa maji sehemu moja na mifugo, mahospitalini jirani zako wanakufa kwa kukosa pesa ya huduma.......sijui nataka kusema nini....
 
Ngoke

Senior Member
Jun 14, 2020
122
185
Kufunga na kuomba kuanzia tarehe 30/11/2022 Mpaka tarehe 01/1/2023 muda kuanzia asubuhi hakuna kula mpaka jioni ya jua kuzama ndio tutakuwa tunakula.
Ukiwa utapenda kushiriki lakini una matatizo kiafya ambapo hauwezi kujizuia Kula basi unaruhusiwa Kula lakini shiriki maombi na kutwa panga kuomba sio chini ya mara 3.
Tafadhali usipange kukosa na ili tujijue kama nashiriki basi usiache ku comment ili tujijue wale ambao tutashiriki

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
8 Reactions
Reply
Top Bottom