Siku 30 Nzito za Maisha Yangu. ooh, Glory to God!!!

habari mpendwa,

logistics za mambo zilinizidi kimo, lakini i thank God kuwa hatimaye nilimudu kuweka hiki kitu hapa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/148619-wingu-na-mbingu.html

ubarikiwe sana mpendwa
Glory to God!

we MJ hujagundua tu kuwa kuna watu wanakuchora tu mpendwa? ...........................unafikiri ukiwapa majibu ndo wataapreciate?............ naomba niwe mshauri wa mambo yako binafsi .........................na kwa kuanza naomba nikushauri usimjibu mtu yoyote humu jamvini na hata mipango yako usituupdate ..................................kwani japo wewe waweza kuwa serious, most people here are jocking!!.............. na wengi zaidi hawajawahi kuona mwanamke jasiri kama wewe awezaye kumanage logistics ngumu kama hizi za mambo ya harusi ...........................na still wenine (huenda) ni ile waswahili wanayoita roho ya korosho!! so watch out!!.......................... ushauri zaidi ni-PM................

again, mimi nakuamini na naamini unachotushirikisha na naamini unafanya hivyo kwa nia njema....................... nakutakia kila la heri na baraka tele za Mungu................. hata mchango ukifika wkati nishtue, nitafurahi kutia timu kwenye huo mnuso.................. best wishez ma dear.................
 
thanks dear AK for advice

ubarikiwe sana
 
Aisee...hakikisha unakunywa maji ya kutosha na chumba kiwe na hewa kwa wingi...

,

Huyo jamaa ana moyo sana, miaka 5...nadhani kwenye akili yake anajua wewe ni girlfriend wake, na sijui ana miaka mingapi?

Sidhani kama ni uamuzi mgumu ukiwa 'umezunguka' naye sana

Hapo umeamua jambo zuri sana, tena sana, hongera kwa kuweka mambo wazi

Mbona una haraka hivyo?? wewe ndo unamlipia mahari..au mlishapanga kwamba muoane tarehe hiyo...mbona humpi nafasi huyo mume mtarajiwa hata ya kupumua..naona unaamua wewe tu..duh

Tutakuombea sana tu..tena sana..
hahaaaaaa huu uzi kama una utata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom