minji
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 2,751
- 4,933
Lazima aumieKuanzia dakika ya tatu Mtangazaji kamuuliza Fetty kama Zilla angekua hai leo kitu gani hukuwahi kumuambia ungetamani leo hii umwambie......Fetty dizaini kama anajutia kwa nini hakumfata Zilla na kuongea nae nini kinamsibu..... ukipata nafasi ya kumsaidia mtu msaidie leo usingoje kesho
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app