Siku 14 kabla ya Ukombozi waliomteka Kamanda Odero wa CHADEMA Wajisalimishe Polisi

Giddy Mangi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
830
184
Tunakemea na tunalaani kitendo kilichofanywa na Wafuasi wa Lowassa na Ccm wilayani Monduli cha kumteka na kumtesa kijana wa Chadema ambaye pia ni kiongozi wa Vijana wa Chadema Arusha wajisalimishe polisi.

Tunatoa siku 14 anzia leo tarehe 29th Sept 2011 kama serikali itaona kilichofanyika ni sawa basi yatakayoikumba Serikali na Nchi asilaumiwe mtu.Hili haliwezi kuvumilika na pia imefika wakati sasa Ccm ielewe kuwa kama ni fujo tunazijua sana tena sana tuu pia tumechoka sana tunaomba msitufikishe kwenye kulipizana visasi.

Tuna uwezo wa kufanya hii nchi isitawalike tena,vyombo vyote vya Usalama visiwasaidie chochote.

Kikwete waambie hawa Ccm wenzio amani tunaipenda lakini msitupatie machungu zaidi ya wizi na uchafu mliokwisha fanya wa kuuza na kutaifisha rasilimali zote za nchi. Pia Magufuli elewa Kila Goti Litapigwa na kamwe usiwadanganye wana Igunga kuwa utawasaidia sasa, mlikuwa wapi miaka 50?
 
Tunakemea na tunalaani kitendo kilichofanywa na Wafuasi wa Lowassa na Ccm wilayani Monduli cha kumteka na kumtesa kijana wa Chadema ambaye pia ni kiongozi wa Vijana wa Chadema Arusha wajisalimishe polisi.Tunatoa siku 14 anzia leo tarehe 29th Sept 2011 kama serikali itaona kilichofanyika ni sawa basi yatakayoikumba Serikali na Nchi asilaumiwe mtu.Hili haliwezi kuvumilika na pia imefika wakati sasa Ccm ielewe kuwa kama ni fujo tunazijua sana tena sana tuu pia tumechoka sana tunaomba msitufikishe kwenye kulipizana visasi.Tuna uwezo wa kufanya hii nchi isitawalike tena,vyombo vyote vya Usalama visiwasaidie chochote.Kikwete waambie hawa Ccm wenzio amani tunaipenda lakini msitupatie machungu zaidi ya wizi na uchafu mliokwisha fanya wa kuuza na kutaifisha rasilimali zote za nchi.Pia Magufuli elewa Kila Goti Litapigwa na kamwe usiwadanganye wana Igunga kuwa utawasaidia sasa,mlikuwa wapi miaka 50?

Je vijana mpo tayari kuonyesha msimamo wenu, ccm wanaonyesha ukomandoo wao na kufanyia mazoezi kwa watu wengine kuona kama wamefaulu. Leo kwa yule kesho ni mimi, kwa nini nitembee njiani kwa wasiwasi kama nimeiba?
 
Wanaanza wao wengine wakijibu mapigo ndo utasikia wanasimamisha masikio na midomo juu watu wanahubiri fujo.
 
Wasiwasi wangu ni kama tutakuwa hai hizo siku 14 ulizozitoa! Maana wananchi tupo kama tunalala kwenye msitu wenye wanyama wakali, dakika yoyote mauti yanakungoja!
 
wasiwasi wangu ni hela za ccm hazitawasaidia watu wakianza kulipiza kisasi.mia
 
Tangu jana Mi nafsi yangu imeshachafuka mbaya sana baada tu ya Crashwise kutujuza. Na ndg zanguni hebu tuweni na subira kidogo tujuwe kauli ya hawa vijana wa Andengenye kwa leo tu.
 
Mangi! acha mikwara mbuzi hii nchi ni ya amani, eti unatoa siku 14 baada ya hapo eti mtu asilaumiwe.

Toa basi tamko muitishe maandamano nchi nzima hicho ndio mnachokijua
 
Dah, Mikwara Mbuzi hii, lakini tuendeleeni kuhubiri amani maana haki ya m2 haipotei.
 
haya magamba yanakotupeleka kweli tutakwisha ... siasa za chuki na malipizi
 
Tunakemea na tunalaani kitendo kilichofanywa na Wafuasi wa Lowassa na Ccm wilayani Monduli cha kumteka na kumtesa kijana wa Chadema ambaye pia ni kiongozi wa Vijana wa Chadema Arusha wajisalimishe polisi.Tunatoa siku 14 anzia leo tarehe 29th Sept 2011 kama serikali itaona kilichofanyika ni sawa basi yatakayoikumba Serikali na Nchi asilaumiwe mtu.Hili haliwezi kuvumilika na pia imefika wakati sasa Ccm ielewe kuwa kama ni fujo tunazijua sana tena sana tuu pia tumechoka sana tunaomba msitufikishe kwenye kulipizana visasi.Tuna uwezo wa kufanya hii nchi isitawalike tena,vyombo vyote vya Usalama visiwasaidie chochote.Kikwete waambie hawa Ccm wenzio amani tunaipenda lakini msitupatie machungu zaidi ya wizi na uchafu mliokwisha fanya wa kuuza na kutaifisha rasilimali zote za nchi.Pia Magufuli elewa Kila Goti Litapigwa na kamwe usiwadanganye wana Igunga kuwa utawasaidia sasa,mlikuwa wapi miaka 50?

Haya maneno mbona hayaashilii amani? Ni maneno makali ambayo yanaonesha kuashiria ubabe, vitisho, majigambo, n.k. Una maana gani kusema "Tuna uwezo kufanya hii nchi isitawalike tena?" Mimi nilikuwa nadhani ungesema "tuna uweza wa kuitawala hii nchi". Hapa ningeelewa kwamba mnataka kunyakua utawala wa nchi hii na kuwaondoa watawala waliopo. Sasa unaposema isitawalike ina maana hakuna atakaye itawala; si ninyi wala walioko madarakani: KWA KIFUPI MNATAKA KUIFANYA TANZANIA IWE KAMA SOMALIA!! Manake Somalia ndio nchi ambayo haitawaliki!
 
Mkuu Kimbunga, mpenda amani unasikia hayo maneno ya hawa CDM huyu Mangi ni kiongozi wa Bavicha unategemea nini hapo!

Kila siku nasema CDM wasipokuwa makini kuruhusu wahuni na wavuta bange ndani ya chama kuwa na nguvu, kila siku kitakuwa chama cha wahuni
 
mangi! Acha mikwara mbuzi hii nchi ni ya amani, eti unatoa siku 14 baada ya hapo eti mtu asilaumiwe.

Toa basi tamko muitishe maandamano nchi nzima hicho ndio mnachokijua

sasa wewe kweli una akili unashabikia maovu!! Tumia akili kidogo usishabikie ujinga
 
Hao wahuni wenu wa magamba wanaoteka watu unawaona wa maana siyo?msipende kutuchokoza !tukiamua huku mitaani tutawateka magamba wote maana tunawafahamu wengi wenu ni mazezeta na vikongwe.
 
sasa wewe kweli una akili unashabikia maovu!! Tumia akili kidogo usishabikie ujinga

Kweli nimeamini Wehu sokoni hawawezi kuisha, mimi tena ndio nimekuwa nashabikia maovu? Hayo maneno mwambia CDM mwenzako alioanzisha hii thread.
Ritz, ni mpenda amani ndio maana napingana na huyu muhuni wa CDM alitoa siku 14, baada ya hapo waazishe fujo kama Somalia nchi isitawalike tena
 
Tunakemea na tunalaani kitendo kilichofanywa na Wafuasi wa Lowassa na Ccm wilayani Monduli cha kumteka na kumtesa kijana wa Chadema ambaye pia ni kiongozi wa Vijana wa Chadema Arusha wajisalimishe polisi.Tunatoa siku 14 anzia leo tarehe 29th Sept 2011 kama serikali itaona kilichofanyika ni sawa basi yatakayoikumba Serikali na Nchi asilaumiwe mtu.Hili haliwezi kuvumilika na pia imefika wakati sasa Ccm ielewe kuwa kama ni fujo tunazijua sana tena sana tuu pia tumechoka sana tunaomba msitufikishe kwenye kulipizana visasi.Tuna uwezo wa kufanya hii nchi isitawalike tena,vyombo vyote vya Usalama visiwasaidie chochote.Kikwete waambie hawa Ccm wenzio amani tunaipenda lakini msitupatie machungu zaidi ya wizi na uchafu mliokwisha fanya wa kuuza na kutaifisha rasilimali zote za nchi.Pia Magufuli elewa Kila Goti Litapigwa na kamwe usiwadanganye wana Igunga kuwa utawasaidia sasa,mlikuwa wapi miaka 50?
Giddy Mangi Mkuu naona umekuja na jaziba poa mkuu, bila shaka hiliswala polisi wanalifanyia kazi.Lakini tukikumbuka huyu Lowasa si ndiye alitufikisha hapa tulipo, sasa ni kuilipa DOWANS mabilioni ya fedha, na huyu DOWANS hapa Tanzania ni nani???????????
 
Mangi! acha mikwara mbuzi hii nchi ni ya amani, eti unatoa siku 14 baada ya hapo eti mtu asilaumiwe.

Toa basi tamko muitishe maandamano nchi nzima hicho ndio mnachokijua
Hivi Ritz wewe vipi, watu wateswe wauwawe unaonasawa tuu!!!!!!!!!!Kaa ukijua kuwa hili ni time bom lina react mkilichokonoa mjue kuna siku litalipuka, sasa linakalibia kulipuka!!!!!!!!!!!
 
Mambo ya Monduli hayo, sio kila sehemu ni Igunga. Kumbuka, ukimwaga mboga, yeye anamwaga ugali. Sasa vyote vimemwagika ndio unakumbuka kuwa mwenzako kashiba na wewe hukushiba? Vile vile kabla ya vitisho kumbuka kuwa what goes around comes around, au kisayansi to every action there is always an equal and opposite reaction. Hivyo kama nchi haitatawalika kwa CCM, unafikiri inaweza kutawalika kwa CDM? Kumbuka bado tunapeleka chakula Somalia. Na mwisho kumbuka mfalme Suleimani aliomba HEKIMA
 
Back
Top Bottom