Siku 120 gerezani Uyui: Magereza zimejaa mahabusu na wafungwa kupitia sheria mbovu

Huna lolote wewe zaidi ya upuuzi wako wa chuki za udini,unadhani hatuna kumbukumbu humu jf na chuki zako na kejeli dhidi ya imani za wengine? Kama una ushahidi unangoja nini kwenda kufungua kesi? Hizo chuki zako hazitokufaa lolote,pigana na hali yako kwanza uupunguze umasikini uliokuzunguka.
Hahaha! mbona umekuwa mchungu ??
relax MUNGU anajua hatma yetu...!!
 
Hahaha! mbona umekuwa mchungu ??
relax MUNGU anajua hatma yetu...!!
Comment zako hua ni za kipuuzi sana hasa katika masuala yanayohusu imani za watu,
chuki zako hua huwezi kuzificha kwa ufinyu wako wakutafakari kabla ya kucomment,

Uwe unajaribu kushirikisha kichwa chako kabla ya kukurupuka kuandika matapishi yako humu.
 
Comment zako hua ni za kipuuzi sana hasa katika masuala yanayohusu imani za watu,
chuki zako hua huwezi kuzificha kwa ufinyu wako wakutafakari kabla ya kucomment,

Uwe unajaribu kushirikisha kichwa chako kabla ya kukurupuka kuandika matapishi yako humu.
type AMEN ubarikiwe
 
Nahic una kichwa cha myama na shingo yako niya mbao...
Uelewa wako si uelewa wa binadam
Mungu alie kuumba alicopy na kupest kutoka kwa mungu alie umba mwanadamu ambae anaweza kutenganisha haki na batili katika vikapu tofauti...

Muombe sana huyo muumba wako akufanyie Revolution katika umbaji wake ili uweze kupata akili mpya na fikra za utambuzi kuhusu lengo la kuumbwa kwako kwa mfano wa Ngamia,
Kipindi cha njaa wacheka, Kipindi cha mavuno wacheka, hujari mvua wala ukame miaka yako ya uhai nikubeba mizigo ya wenzio kwa wimbo murua wa UZALENDO.
Kama Mungu wako ni mungu anaeshabikia kuuwana na dhiki kuu kwa watoto, wazee, walemavu, wanawake wajawazito na watu wasio kuwa na hatia basi wala sitaki kujihusisha na mafundisho yake wala dini inayomtukuza, wala siwezi kumuomba chochote, ila kama Mungu unaemsema ni yule alie sema usiuwe, usidhulumu basi huyu ninamkubali na mambo yake yote nayakubali na namuomba anisamehe makosa yangu na makosa yako na wenzio waliotendewa dhuluma kama kweli hamkutenda makosa au ubatili wowote. Tatizo watu kama ninyi mmekuwa Brainwashed that's why you kill other human beings like savage beast, why slaughter a human being like a cow?
 
Kama Mungu wako ni mungu anaeshabikia kuuwana na dhiki kuu kwa watoto, wazee, walemavu, wanawake wajawazito na watu wasio kuwa na hatia basi wala sitaki kujihusisha na mafundisho yake wala dini inayomtukuza, wala siwezi kumuomba chochote, ila kama Mungu unaemsema ni yule alie sema usiuwe, usidhulumu basi huyu ninamkubali na mambo yake yote nayakubali na namuomba anisamehe makosa yangu na makosa yako na wenzio waliotendewa dhuluma kama kweli hamkutenda makosa au ubatili wowote. Tatizo watu kama ninyi mmekuwa Brainwashed that's why you kill other human beings like savage beast, why slaughter a human being like a cow?
Nashangaa wachangiaji wengi wameihusisha hii mada na udini!!

Mkuu labda nikuulize,hao wanaoua Albino ni wa dini gani? Wanaoua vikongwe kwa imani za kishirikina ni dini gani? Wanaojichukulia sheria mkononi na kuwachoma moto live vibaka nao wana dini gani?

Ubaya hauna dini tambua hilo kwanza,hao kina Hitler na Stalin na wengineo walioua mamilioni ya watu walikua ni waislamu?
 
Nashangaa wachangiaji wengi wameihusisha hii mada na udini!!

Mkuu labda nikuulize,hao wanaoua Albino ni wa dini gani? Wanaoua vikongwe kwa imani za kishirikina ni dini gani? Wanaojichukulia sheria mkononi na kuwachoma moto live vibaka nao wana dini gani?

Ubaya hauna dini tambua hilo kwanza,hao kina Hitler na Stalin na wengineo walioua mamilioni ya watu walikua ni waislamu?
Tuendelee kushangaa
Wanaofanya mauaji Kibiti nao ni dini gani?
Lakini askari walio ua watuhumiwa kule Kibiti nao ni dini gani?
Je raia ambao wameua wanawake watano kwa kuwatuhumu uchawi kule kijiji cha undomo nao ni dini gani?
Vilevile askari alie mua kijana mpita njia kisa kavaa kanzu na ndevu nae alitumwa na watu wa dini gani?
Siamini kuwa uvunjifu wa haki dhidi ya Binadam unaendana na Imani yoyote ya kidini Bali ni dhuruma na unyanyasaji dhidi ya haki na utu wa mwadam
Mauaji ya kimbari almenia hayakufanywa na waislam
Mauji ya kimbali nchini Rwanda hayakufanywa na waislam
Mauaji yanayofanywa na wazayuni juu ya waparestina hayafanywi na waislam
Mgogoro wa Syria ni mapinduzi dhidi ya ubeberu wa Bashar al asad Mapinduzi ya Tahrily Square dhidi ya Hussein Mubarak ni matokeo ya dhuruma kwa wananchi wa Misri Mapinduzi ya Ribya ni matokeo ya ukandamizaji wa Muamar ghadafi dhidi ya walibya
Mgogoro wa Somalia na kuibuka kwa al-shabab ni matokeo ya dhuruma na unyama uliokuwa ukitendwa na selikari dhalimu ya Mohammed Falah Haididi - Tanzania kama nchi na kama zilivyo nchi zingine haipaswi kujenga Taifa la watesaji na wateswaji kwa misingi ya kulinda amani ya nchi na uzalendo huku wachache wakionekana wasaliti kwa misingi ya itikadi zao..

Kimsingi vyombo vyetu vya Dora bado vina elements za ukoloni japo tunajisifu kuwa ni nchi ya amani.
 
Naipongeza Serikali kwa kudhibiti vitendo vya ugaidi, sasa nchi ina amani
 
Ghafla yule askari wa kike alisogea pale nilipokuwa huku mdomoni mwake akivuta sigara, baada ya takribani dakika tatu kupita Yule askari wa kike alikuwa akizishika sehemu zangu za siri tena mikono yake ilikuwa laini mithiri ya ngozi ya swira.
Huyu alitaka nini hasa?
 
Nilijawa na hofu pindi askari alipotuamuru kuinama huku tumeshika magoti na yeye akikagua O zetu utadhani dume la nyati.

Sikuweza kutambua sababu ya yeye kutukagua maeneo hayo huku wengine akiwawekea katika O zao kilungu chake cha mpingo.

Hakika ulikuwa ni udhalili wa hali ya juu dhidi yetu.
Hapa ndipo askar magereza wanaongoza kwa ushoga mitaani.
 
mimi ni mkristo. tofauti ya ukristo na dini nyingine ni kuwa kwa mtu x kusema yesu si mwana wa Mungu, Yesu si kitu, Yesu hafai,Yesu ni kila kitu kibaya si sababu hata kidogo ya kumtesa mtu huyo. Mungu anayeaminiwa na Wakristo hahitaji kutetewa kimwili na binadamu. hapo ataonesha udhaifu mkubwa sana. kwamba leo hii mtu aikanyage Biblia au aitolee haja ndogo mimi mkristo nianze kuhangaika na mtu huyo? huo utakuwa upumbavu na si Ukristo. Kwa maandiko ya Biblia inabidi mtu wa namna hiyo nimwombe ghofilo/msamaha kwa sababu hajui alitendalo.

sioni tatizo waislamu kufanya mihadhara kumkashifu Kristo au Ukristo. Yesu hakuleta Dini ya Kikristo. Yesu alileta Habari Njema na kutokana na Hiyo ndo wakafanyika watu kuwa wafuasi wake. so Mkristo ni Mfuasi wa Kristo. lakini Yesu alizungumzia wapi dini?
yakobo 1.26-27
"....Mtu akidhani kuwa ana dini na huku hautawali ulimi wake, anajidanganya mwenyewe na dini yake ni bure. Dini iliyo safi, isiyo na uchafu mbele za Mungu Baba, ndio hii: kuwasaidia yatima na wajane katika dhiki zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu."

hivyo nimeumia sana kwa maelezo haya aliyoyatoa ndugu yangu huyu kwa mateso ambayo ameyapata kwa kusema kuwa Yesu si mwana wa Mungu. na waliokutesa wanaweza kuwa na majina ya Kikristo lakini si Wakristo. Yesu alipoteswa na hata kuuawa Msalabani aliwaombea waliokuwa wakimkosea kwa Mungu(baba yake) wasamehewe, wasihesabiwe dhambi ile.

stefano akiwa anapigwa mawe na wayahudi wale waliokuwa wameishika sana torati ya Musa , waliochukizwa na habari zake za kutangaza ujumbe wa Yesu Kristo. aliinua macho yake juu na kuomba kwa Mungu kuwa wale watu wasihesabiwe dhambi ile.
Matendo 7:60 huu ndo ukristo, ukristo unatangaza upendo kwa watu wote wanaoamini na wasioamini. wanaoukubali na wasio ukubali ndiyo asili ya Kristo na hata alipoulizwa Mkosaji asamehewe mara ngapi kwa siku.akajibu saba mara sabini.

ni wendawazimu kuwakataza waislamu kuhubiri wanachoamini.wakisema Yesu si mwana wa Mungu ni haki yao,wakisema Yesu hafai au Ukristo haufai ni haki yao. Lolote walisemalo ni haki ya wasemaji sababu Mkristo hapigani vita kwa iaba ya Mungu.Mungu hashindwi kujitetea kwa majeshi. ila kwa Imani ndivyo tunavyomtetea Kristo. kwa kueneza imani na matendo aliyoyatenda.

narudia tena pole sana ndugu yangu duniani kuna watu wana roho mbaya za kishetani na katika hili wanaweza kupata sababu yoyote watimize ushetani wao na katik ahilo wanaweza hata kuchafua imani ya kweli kulingana na neno la Mungu. Mateso uliyopata yalikuwa makubwa for no reason. Mungu akupiganie na akutie nguvu ili usahau hayo na uwasamehe watesi wako.
 
naomba kuuliza Dola la kiisilaumu na dola la jamuhuri lipi linatisha? Nyie watu mnapenda kujifanya mnajua mbovu sijui na majambia na karatw zenu. Hizi tabia za nchi za kiarabu zitawatokea puani. Nashauri wale wanaotaka kufanya Tz kuwa dola la kiislam tutawamiza na kufanya unyama zaidi hii hapa ulioandika na pengine haitaka kutokea. Nyie watu imani yenu ni problem kila pahala ati.
Mkuu ukitaka kuandika comment....tulia Kwanza punguza jazba....halafu tiririka....kiisilaumu, karatw maana yake Nini...
 
Back
Top Bottom