Siku 120 gerezani Uyui: Magereza zimejaa mahabusu na wafungwa kupitia sheria mbovu

pole ila waislam mna matatizo sana mnatakaga kuwaiga wenzenu waarabu wazee wakujilipua badilikeni izo harakati zenu mtaishia kupotezwaa tu eti mnadai taifa la kiiislam idiots nendeni Somalia uko
 
naomba kuuliza Dola la kiisilaumu na dola la jamuhuri lipi linatisha? Nyie watu mnapenda kujifanya mnajua mbovu sijui na majambia na karatw zenu. Hizi tabia za nchi za kiarabu zitawatokea puani. Nashauri wale wanaotaka kufanya Tz kuwa dola la kiislam tutawamiza na kufanya unyama zaidi hii hapa ulioandika na pengine haitaka kutokea. Nyie watu imani yenu ni problem kila pahala ati.
Haha eti Jambia na Karate
 
Inauma sana japo wengi wataitathimini hii post katika udini. Ndiyo mimi ni mkristu lakini siwezi kuunga mkono ukandamizaji na udhalilishaji kama huu. Muda mwingine hata ugumu wa maisha ulioko Tanzania ni matokeo ya dhuruma na unyanyasaji kama huu. Namkumbuka sana home boy Hamisi Mguga mmoja wa waliofukiwa machimboni Bulyanhulu (1996) kumpisha mwekezaji kwa amri ya M....kapa ambaye kwa sasa anakula tu pensheni na kupewa Kiti cha mbele kanisani.
Umenena vyema, nchi hii sikia tu yasikukute, lakini kusema kweli vyombo vya dola vinaendesha dhuluma kubwa sana dhidi ya raia. Huyo ni mmoja tu aliyeweza kuitumia platform hii kueleza yaliyomsibu lakini hundreds more go through this kind of torture.

Kupitia redio free Africa kuna kipindi cha simulizi za sijui mikisa ya maisha vile on Sunday. Kuna jamaa mmoja alikua anatoa ushuhuda alivyoteswa, kupewa kesi ya kuua, kuwekwa ndani for more than six month na huku yeye ndo kavunjiwa duka na kuibiwa. Polisi walichukua fedha kutoka kwa mama yake kama rushwa wakimdanya watamsaidia mtoto wake na ni huko huko nzega.

Na huyo jamaa ktk simulizi yake aliwataja askari the so called afisa upelelezi wote, huko mahabusu aliwekwa na wezi wake, baada ya dhuluma yote hiyo, mateso? Kuchukuliwa pesa na vyombo vya dola still hata baada ya kuachiwa na kusimulia tena kupitia redio hakuna chombo chochote kile cha serikali kilichofuatilia na kuwatia hatiani watumishi wa jeshi la polisi waliomfanyia dhuluma huyo jamaa. The poor man atakufa na kinyongo chake moyoni haki atapata kwa Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado anaendelea kuwaita watanzania ni wapumbavu
 
mambo mengine Mungu atawalipia
 
unaongea kwa chuki tu bahati ni kwamba waislam siyo wanafiki kama wakristo ambao wanavaa ngozi ya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu.

chuki ya wakristo hasa walokole kwa waislam ni kali sana sema haioneshwi waziwazi waislam si wanafiki yao huyaweka wazi. hapo sasa unaweza kujua nani ni hatari zaidi. lakini yote kwa yote hatuna sababu ya kuchukiana waislam kwa wakristo sisi sote ni ndugu moja na ni watanzania.
Nyie wanasiasa ndio mara nyingi mnaoleta udini na ni watu wabaya sana huyu mleta mada ni mdini mkubwa na mzandiki anamuita Nyerere ni nguruwe mweusi ukisoma vizuri unajua target yake ni kichochezi chuki za kidini na angetakiwa afungwe maisha.

Ila sababu wewe unatetea tumbo lako ili upate dola unaunga mkono huu uchochezi kwa manufaa ya njaa zako.
 
Hv kuna watu hawawezi kuhubiri dini yao bila kukashfu dini za wengine,ina maana kipimo cha utakatifu cha baadhi ya dini ni ``udhaifu `` wa dini zingine?
Hili swali huwa linanisumbua hata mimi waislamu ni wadini na wachochezi sana kwenye mihadhara yao na misikitini wanawakashfu na kuwatukana wakristo kuwa ni makafiri na kila aina ya dhihaka,

Radio Iman kuna kipindi walikua wanawatukana wakristo pamoja na Nyerere lakini hili hautalisikia wakristo makanisani hata wakimtaja muislam na wala hatujadili wala kukosoa mfumo wao wa imani kwenye mikusanyiko yetu
 
ukiona mtu anajadili mambo ya mwingine ujue huyo ana hofu halafu ni "inferior"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TBP ndio familia ilio wahifadhi mashekh wa Uamsho, TBP imewahifadhi katika sero viongozi wa vyama ambao wamejaribu kuisema vibaya hii familia ya TBP.
Kote umeenda vizuri umeharibu hapo tu.
Kwa nini Zanzibar hakuna tena mauaji ya mapadri na wazungu baada tu ya hao masheikh wa uamsho kuswekwa ndani?
 
ukiona mtu anajadili mambo ya mwingine ujue huyo ana hofu halafu ni "inferior"

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Mkuu ila wakae wakijua hao waarabu wanaowapa kiburi sio wema sababu imebainika mtandao wa ugaidi kibiti kuna watu fulanifulani walikua wanaotoa ufadhili kwa ajili ya mauaji Yale.

Serikali haitaangalia mtu lazima kila atakayejihusisha na huu uendawazimu akutane na cake yake sababu Tanzania sio Somalia wala Iraq wakiona mashetani yao ya kunywa damu yanapanda wajiue wenyewe mkono wa dola ni wa chuma na ukikukamata utajuta
 
Ulipoanza tu propaganda zenu zile za kumchafua Nyerere nikajua lengo lako. Wewe na wenzio ni watu hatari sana, na msipodhibitiwa zaidi mtaleta shida kuu, hamridhiki hadi muone damu za watu. Mungu sio mnafiki ndio maana alimleta Jakaya Kikwete muislam mwenzenu akawadhibiti Ponda na wenzie bila kuwasahau uhamsho. Angewaweka selo Benjamin M au John M sijui ingekuwaje!!? Chuki waliyopandikiza watu kama ninyi ilisababisha watu kuchoma moto makanisa na kumwagiwa tindikali watu wasiokuwa na msimamo sawa nanyi. Watu walichinjwa msikitini kule Mwanza kwa sumu yenu kali ya uuwaji. Kama wewe ulionewa lakini wenzio wengi ndio wameleta shida hiyo iliyokukuta na sio Nyerere unaejaribu kumtupia lawama. Mwacheni mzee wa watu apumzike au atumikie stahiki yake huko aliko, yeye kafanya yake hapa duniani kama kutuunganisha watanzania, siku zake zimeisha basi. Haitawasidia kujaribu kumchafua Nyerere kimkakati kwa uandishi mzuri wa propaganda lengo likiwa kuhalalisha malengo yenu ya kutugawa au kuunda dola la kiislam. Nasema hivi hata atakae jaribu kuunda dola la kikristo hatafanikiwa hapa Tanzania hasa Tanganyika, na pia halitafanikiwa dola la kiislam sababu nchi yetu imeundwa na mchanganyiko wa imani nyingi tofauti na pia Nyerere alifanikiwa kuwazima hii mikakati yenu ndio maana mnachukia sana na mzimu wake unawasumbua. Mnaogopa kivuli chake cha utaifa kinafunika chuki zenu za udini.
 
Ni utaifa upi ulio nao katika nchi hii
Utaifa wakuimba mungu ibariki au utaifa wa Makinikia?
Nenda katika magereza yote nchini ukaone huo utaifa wako unavyo heshimika...
Fikra zilizochoka ambazo hutolewa na watu waliolishwa nakuaminishwa Neno utaifa ndio wanao iangamiza nchi kwa kuondoa Uhuru wakweli katika maisha ya watanzani..
 
Heri yetu tuliolishwa utaifa na kusababisha tuishi pamoja kwa amani kama taifa kuliko kulishwa hiyo sumu yenu na kuishia kama Libya, Misri ya Morsi, Somalia, Syria, Iraki, Burundi na Nigeria na Afrika ya Kati. Watu wanauwana, shughuli nyingi za kimaendeleo zimekwama. Kila siku ni kuuwana na dhiki kuu imewajia. Chanzo ni kufitinishwa na War lords wanaofaidika na vita . Kabla ya hao wazungu na waarabu tulikuwa na dini/imani zetu na watu hawakuuwana sababu wanapigania dini fulani. Watu walipgania mambo mengine kabisa hasa ya kiuchumi kama ardhi n.k. Sasa hatutaki kuuwana kibwege, Na serikali itawashughulikia kweli kweli, na kumuandika vibaya au kumtukana Nyerere hakutawasaidia kitu. Kama hamtaki kutii sheria na mtakaa jela na mkileta fyoko fyoko kama za Kibiti mtasakwa kama kuku au paka mwizi kila mtakakokimbilia kwa mwamvuli wa dini au chochote kile. Naona dawa inawaingia sasa mnaanza kuweka silaha chini na kulialia. Si mlikuwa mnasifiwa wakati mnauwa watu ovyo? Sasa tulieni dawa iwaingie au kama undava undava basi rudini Kibiti mkapambane na wanaume wenzenu. Hapa hakuna cha ukristo wala uislam au kabila flani mtanyooshwa tu. Akina Chifu nani wale mababu zetu hawakuwa na dini hizi za kututenganisha.
 
Nahic una kichwa cha myama na shingo yako niya mbao...
Uelewa wako si uelewa wa binadam
Mungu alie kuumba alicopy na kupest kutoka kwa mungu alie umba mwanadamu ambae anaweza kutenganisha haki na batili katika vikapu tofauti...

Muombe sana huyo muumba wako akufanyie Revolution katika umbaji wake ili uweze kupata akili mpya na fikra za utambuzi kuhusu lengo la kuumbwa kwako kwa mfano wa Ngamia,
Kipindi cha njaa wacheka, Kipindi cha mavuno wacheka, hujari mvua wala ukame miaka yako ya uhai nikubeba mizigo ya wenzio kwa wimbo murua wa UZALENDO.
 
hapo sasa !!
mimi nina ushahidi wa ubaya wa hawa watu wa dola la kiislam ni wauaji sana
Huna lolote wewe zaidi ya upuuzi wako wa chuki za udini,unadhani hatuna kumbukumbu humu jf na chuki zako na kejeli dhidi ya imani za wengine? Kama una ushahidi unangoja nini kwenda kufungua kesi? Hizo chuki zako hazitokufaa lolote,pigana na hali yako kwanza uupunguze umasikini uliokuzunguka.
 
Back
Top Bottom