Siku 101 za Kwanza - WaTZ tumekosa nini?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
tumejaliwa hazina za kila namna, eneo zuri la kijiografia, watu wakarimu na wafanya kazi hodari, lakini sisi bado ni masikini. Viongozi wetu wamekosa kitu gani? Ninachambua sifa nane za kiongozi ambaye ataliinua Taifa letu. Je tunaziona sifa hizo ndani ya Kikwete na viongozi walio chini yake? Au tumngojee kiongozi mwingine? Mtu ambaye anaweza kuitwa ni Nabii Yule?!!

http://mwanakijiji.podomatic.com
 
Kile kijiwe nacho kina mikono mingi mara Condoleza kavamia ,mara unaamka kesho hakuna tena raha,sasa mbadala basi iwe hapa waheshimiwa tushuhe vitu humu,Mkandara ,mwanakijiji,willo, mizambwa,njagu ,Mzee Es,na wengine shusheni vitu hapa basi hata kwa muda mpaka kijiwe chetu cha kule kitakapotengemaa.
 
Ndugu Kazi ndiyo kipimo cha utu: tatizo ni kuwa tuna uhakika gani kwamba hiki jiwe nacho hakitauawa endapo tutawasha moto kama wa BCS? Ninaamini issue mbili zimeiua BCS: IPTL na fake degree!
 
KUangauka kwa bcs kumetokana na sisi wenyewe matusi yamekuwa mengi sana na kuna baadhi ya wachawi wakiingia hapa kwetu watatuharibia pia kama bcstimes.
peace!!!
 
Mwanakijiji: 'Tena tuna na kina dada huko'...
Nani amekwambia sisi tuna shida ya kina dada sana?
 
Ni vizuri kusikiliza mawazo ya kina dada zetu tu katika mijadala ya taifa... don't u agree?
 
njoni kwenye Gumzo!!! michango yenu inahitajika sana na mada tulizozingumza huko nyuma bado zina umuhimu sana leo hii!
 
Tatizo huko Mwanakijiji mmezidi na habari za vi-chupi. Na kam kina Pendo ndo kina dada wenyewe uliokuwa unawaongelea basi bwana baki nao mwenyewe!
 
Hauna ulazima wa kuzungumzia mambo ya vichupi...! unaweza kuja kwenye "habari" au "siasa" na tukaanza kuzungumza mambo hayo...I'm in charge... mtu anayeleta mada zake za mapenzi (vichupi) kwenye siasa zitahamishwa...!! Kula na kulala vyote ni sehemu ya maisha!!
 
Naona watu wametokomea. Kufa kwa bcstimes sio mwisho wa uhunzi jamani!! Kuna forum ingine inaendelea: tzuk.net. Karibuni huko pia.

Mkandara, Sam tushituane mmehamia wapi?
 
Mwanasiasa,
Hatari tupu, hii leo huko BCS imeshindikana hata kufunguka. Sasa naona ni wakati muafaka kwa sisi tulioko huku majuu tufungue kitu chetu wenyewe cha nguvu kishenzi -Mapambano bado yanaendelea!.. Sam na Mzee ES sijui kabisa wako wapi yawezekana segerea! :lol:
 
Tatizo ni kuwa ninyi nyote mnaendelea kuandikia mate wakati wino upo! njooni kwenye gumzo, where everything is fair! and no subject is forbidden...

http://www.phpbbcity.com/forum/baraza.html

Na kwa ajili yenu binafsi, Eneo la "siasa" kwenye Gumzo limetengwa rasmi kwa wana bcstimes. Watu wanaweza kusoma post lakini wanaoweza kuchangia ni wale wenye ruhusa rasmi. Hivyo njooni huko michango yenu kwa kweli inahitajika sana siku hizi kuliko wakati mwingine wowote. Anayejiunga atume PM kwa "Mzee Mwanakijiji" au "The Law" ili apate ruhusa ya kuingia kwenye "Siasa". Maeneo mengine yako huru isipokuwa maeneo haya mawili "Watu Wazima" na "Siasa".
 
Back
Top Bottom