Siku 100 za Rais Samia naiona dhamira njema aliyonayo kwa nchi yetu

Kilio cha wakulima wa Tanzania ni soko, pembejeo na bei. Msimu ujao wa kilimo sera ya awamu ya sita itakuwa wazi kwa wakulima. Na ameanza kwa kurudisha bodi ya korosho.

Tofauti na awamu iliyopita ambapo bei za mazao zilishuka na wakulima kupata hasara ikiwa pamoja na kudhulumiwa hela za korosho.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app

Bodi ya korosho ya wakati ule iliyojaa upigaji mtupu. Na hii ni miezi mitatu tu na ushee sijui ikifika mwaka Taifa hili litakuwa limefikishwa wapi?
 
Nawashanga viongozi wanaojiita eti wa Wakristo. Angalau Gwajima kalisemea la chanjo. Wamekaa kimya wasiseme chechote, wameridhishwa na kauli ya ujanja ujanja wa chanjo ni hiari basi.

Watanzania wangapi wanajua madhara yanayo ambatana na hii chanjo na ni nani wa kuwasemea? Si serikali, si taasisi za dini zimechukua jukumu la kuelimisha hilo. Wamekaa kimya wakiangalia biashara hii ya shetani na mawakala wake ikipigiwa chapuo na tulio wamini watuongoze.

Mimi na jua na kwa uhakika Wakristo hata viongozi wa kikaa kimya Mungu wa Mbinguni hata acha kufanya kitu. Maadamu miili yetu ni Hekalu la Roho Mtakatifu ili mradi umebatizwa na kumpokea Bwana Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa Maisha yako, hakuna wa kuichezea. Mungu wa Mbinguni hata kaa kimya kamwe, atafanya jambo tu. Mamilioni ya Watanzania wasiojielewa kuhusu chanjo hawataachwa wafanywe soko HURIA la biashara hii ya mawakala wakuu wa lusifa.
Niletee andiko hapa linalokataza chanjo.

Magonjwa kama ukoma na tauni zamani yalikuwa ni tishio leo hii yametokomea baada ya chanjo na dawa kupatikana.

Yesu alisema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Maarifa yanapatikana kwenye vitabu soma ufahamu Daniel 9:2

Imani haiigwi sio kila analosema mchungaji wako liko sahii 100%. Sisemi usiwasikilize ila yakupasa kuyapima maneno yao na maandiko.

Biblia imesema kila neno lenye pumzi ya Mungu lafaa kwa mafundisho maana yake tunatakiwa kutumia Neno la Mungu kujifunza kwetu ila leo hii wakrsito wengi wamefungwa na maneno ya wachungaji wakitegemea miujiza. Sisemi kuwa hakuna miujiza NO. Miujiza ipo ila hutokea kwa sababu ukitaka kujua sababu nitakupa na mifano.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Umeharibu hoja, Israeli walimkataa Yesu Kristo na kumsulubisha. Kumbuka sijasemea lolote kuhusu Mecca. Hivyo wao Isiraeli, kimsingi ndio vinara wa huu mkakati wa shetani kusilimisha dunia yote kwa chanjo.
Unasoma Biblia? Unajua maana ya Taifa la Israeli katika Ukristo?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Sina uzoefu na misamiati ya huko unakoleweya kinywaji chako, kwa hiyo sijui ni kipi unakiongelea hapo kuhusu hizo 'simgii'.

Mawe huko kwenu hayako. Tukinyamaza Mungu wa Mbinguni atanyanyua mawe ya ulize nani anataka kuchezea watu wangu wa Taifa hili la Tanzania walio utangazia ulimwengu mzima na ukawasikia na kuwaelewa kwamba wao wameamua kunitegemea?
 
Mama amejitahidi kuvaa sura ya kiongozi , ila anahitaji waziri mkuu mkorofi kidogo kwa ajili ya usimamizi, binadamu wanajisahau sana
 
Mawe huko kwenu hayako. Tukinyamaza Mungu wa Mbinguni atanyanyua mawe ya ulize nani anataka kuchezea watu wsngu wa Taifa hili la Tanzania walio utangazia ulimwengu na ukawasukia kwamba wao wameamua kunitegemea?
Mara hii ushasahau jinsi gani Corona ilivyomchukuwa rafiki yako wa Chato?
Hivi watu mbona muna akili fupi kama za kuku na mtama?
 
Mama amejitahidi kuvaa sura ya kiongozi , ila anahitaji waziri mkuu mkorofi kidogo kwa ajili ya usimamizi, binadamu wanajisahau sana

Huwezi kuwa mkorofi wakati huna uhakika na anaye kutuma kuwa atasimama na wewe hali ikiwa ngumu. Kashindwa kusimama na maamuzi ya aliye mrithi. Hivyo wote waliochini yake wataogopa. Kwa ufupi haaminiki tena na kila ndege mjanja ataepusha bawa lake.

A very simple principle ya leadership ni kuwajengea kujiamini unaowasimamia na kuwatuma ili wakusaidie kazi.
 
Labda maisha ya uganga na ulozi maana Mungu wa Mbinguni anatwajwa kwa uchache na kwa geresha kwenye makongamano yake.
Niambie kiongozi gani Tanzania hii aliyemtaja Mungu wa kweli kwenye makongamano yake.

Usidhudhuke na mtu kutaja jina "Mungu" hata Shetani anaitwa mungu wa dunia hii soma 2 Kor 4:4, kwa sababu neno mungu ni cheo ndio maana Mungu ninayemwabudu katika Kristo Yesu ana majina. Nitakutajia majina yake kama utahitaji

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Achana na hii hipocritical judgement, Yesu alikemea. Judge thou not. Limbukeni wewe hamna maisha ya raha hapa duniani unless wewe ni washetani na mtazamo wako ni wamrengo huo. Maneno ya Mungu yanasema Duniani mmejawa na dhiki. Hata wacheza rumba majukwani wakiwa nusu uchi wanayo barua hiyo.

Daudi Mfalme pamoja na yote na Mungu kusema mikono yako imejaa damu za watu bado Bwana Yesu Kristo ni wa mzao wa Daudi.
3 Yohana 1:2 inapingana na maneno yako. Kama hakuna raha hapa duniani basi Yesu atakuwa amekufa bure pale msalabani kitu ambacho sio kweli. Alifanyika laana ili mimi na wewe tuheshimiwe tuishi matajiri.

Daudi alitubu alipoambiwa amekosea baba yako alitaka kumuangamiza askofu kakobe alipomwabia atubu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Niambie kiongozi gani Tanzania hii aliyemtaja Mungu wa kweli kwenye makongamano yake.

Usidhudhuke na mtu kutaja jina "Mungu" hata Shetani anaitwa mungu wa dunia hii soma 2 Kor 4:4, kwa sababu neno mungu ni cheo ndio maana Mungu ninayemwabudu katika Kristo Yesu ana majina. Nitakutajia majina yake kama utahitaji

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app

Mtumishi wangu Nebukardezari, huyu alikuwa ni Mfalme wa Babeli. Na bado Mungu alimwita mtumishi wake sembuse JPM.
 
3 Yohana 1:2 inapingana na maneno yako. Kama hakuna raha hapa duniani basi Yesu atakuwa amekufa bure pale msalabani kitu ambacho sio kweli. Alifanyika laana ili mimi na wewe tuheshimiwe tuishi matajiri.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app

Heshima ni kuuona Ufalme wa Mbinguni. Ingekuwa ni hivyo Petro asingesulubiwa kichwa chini miguu juu.
 
Back
Top Bottom