Siku 100 za kikwete Ikulu zakaribia bila muelekeo!

MchunguZI

JF-Expert Member
Jun 14, 2008
4,006
2,165
Ilikuwa siku moja baada ya kuapishwa kwa mawaziri, Mh. Magufuri akaitikisa wizara yake kwa maelekezo na maonyo, nk.

Nikirudi kwa Rais wetu sijasikia lolote. Sidhani kama ni kawaida kwa Rais kuwa dhaifu kiasi hiki. Hivi kweli huyu mtu wetu anafahamu kazi zake? Au ni msimu kama wa zamani.

Ajabu zaidi hakuna hotuba yoyote kwa wa-TZ aliyokwisha itoa ili wapiga kura tuone kama kweli ushindi wake una manufaa kwetu. Ile nyingine ilikuwa ni kwa Bunge.

Siku 100 zinakuja bila hata kuona kama Rais wetu ana jipya au huenda ni yale yale ya Zamani. Naanza kuiona hasara itakayotupata kwa miaka 5 ijayo.
 
Ama kweli tuna rais. Hivi ameanza kutekeleza chochote kati ya zile ahadi zake lukuki? Mbona muda unamwacha? Ilitakiwa saa hizi awe ameshakomalia ahadi zake kivitendo. Ahadi za trilioni 90 si mchezo! Sasa naona tumemaliza tayari mwezi na nusu lakini hatuoni kitu. Mzee Jk gangamala muda unayoyoma. Miaka 5 si mingi mheshimiwa.
 
Kikwete ni msanii hana lolote, mwacheni mtalii wetu azunguke dunia kwani nyie hamumjui kuwa ni matonya wakimataifa? milimkataa sasa amechakachua na katiba inamlinda. Watanzania tegemeeni nothing from him, hatafanya chochote zaidi ya kuzingaanga kodi za watanzania
 
Ilikuwa siku moja baada ya kuapishwa kwa mawaziri, Mh. Magufuri akaitikisa wizara yake kwa maelekezo na maonyo, nk.

Nikirudi kwa Rais wetu sijasikia lolote. Sidhani kama ni kawaida kwa Rais kuwa dhaifu kiasi hiki. Hivi kweli huyu mtu wetu anafahamu kazi zake? Au ni msimu kama wa zamani.

Ajabu zaidi hakuna hotuba yoyote kwa wa-TZ aliyokwisha itoa ili wapiga kura tuone kama kweli ushindi wake una manufaa kwetu. Ile nyingine ilikuwa ni kwa Bunge.

Siku 100 zinakuja bila hata kuona kama Rais wetu ana jipya au huenda ni yale yale ya Zamani. Naanza kuiona hasara itakayotupata kwa miaka 5 ijayo.

Nimependa sana signature yako.

Inanipa ma-blood ya kukipenda chama changu chadema. Wacha waseme yote. Sitachagua CCM, duniani au kaburini.

Kuhusu Mkwere. Nilishasema.

Tanzania tuna mtu anayetaka nayeye aitwe Rais. Yaani Kikwete neno Rais ni adjective. Ni kisifa.

Tuhesabu miaka yetu mi5
 
Penchant of travelling and partying! don't you love it fellows! Mtalala njaa wacheni baba akahemee arudi na vibaba pls.:whoo:
 
Kweli siku 100 zitakwisha bila muelekeo wowote wa serikali. Hebu tusubiri hawa akina Tibaijuka, lakini naamini watawekewa stop. wasiposikia atabadili Baraza.
 
watu wanamaneno, ungwe ya JK imeisha turudi Mh magufuli katimiza siku 60 ikulu mnasemaje na huyu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom