Siku 100 za JK uchumi wa nchi utakuwaje?

MAMA POROJO

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
4,974
785

Tarehe 01/11/2010 mfumuko wa bei ulikuwa hivi, je siku 100 zijazo tarehe 08/02/2011 hali ya nchi itakuwaje?
Tutegemee anguko la mfumuko wa bei au kupanda kwa bei?


Indicative Foreign Exchange Market Rates


Exchange Rates for 1/Nov/2010

Currency in 100 Units

Spot Selling


EAST AFRICAN CURRENCIES

Kenya SHS1,851.81
Uganda SHS
65.49
Burundi Franc 143.05

OTHER SELECTED CURRENCIES
USD149,769.00
Pound STG240,588.92
EURO209,451.95
Canadian $ 147,251.01
Switz. Franc152,188.80
Japanese YEN1,857.72
Swedish Kronor22,589.59
Norweg. Kronor25,649.77
Danish Kronor28,072.39
Australian $48,016.70
Indian RPS3,371.66
Pakistan RPS2,593.40
Zambian Kwacha31.97
Malawian Kwacha1,682.80
Mozambique -MET5,428.38
Zimbabwe $28.31
SDR235,405.42
Gold (T/O)203,970,401.10
S. African Rand21,468.56
UAE Dirham40,777.88
Singapore $116,073.01
Honk Kong $19,316.06
Saud Arabian Rial 39,936.27
Kuwait Dinar520,935.65
Botswana Pula23,019.50
Newzealand114,827.89


Bei ya bidhaa mbalimbali
________________________________________________________

Kilo moja ya nyama = 4,000/=
Sukari = 1,800/=
Mkate (bakeresa) = 800/=
Sembe = 800/=
Mchele = 1,200/=
Mafuta ya taa = 1,300/=
Dizeli = 1,700/=
Petrol = 1,800/=
Soda = 500/=
 
kwa hali hiyo naona huo Mfumo wa Bei utazidi kupanda na Maisha ya Mtu wa kima cha chini yatazidi kuwa Magumu. Kilo moja ya nyama ni shilingi 4.000 poleni sana ndugu zangu utafikiri hao wanyama wanatoka nchi ya jirani Kenya au Uganda? Nchi yetu huku tunako kwenda kunaonyesha ni kubaya zaidi itafika wakati hiyo kilo ya nyama kilo moja ni shilingi 6,000 kabla ya hata huu mwaka 2010 kuisha kasheshe na Tanzania yetu ya Viongozi mafisadi.
 
Kazi ipo na itabidi tujifunge mkanda kwa hiyo kazi tukabiliane na hayo Maisha kila siku maisha yanazidi kuwa Magumu je tutafika kule tunakokwenda?
 
:tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::nono:
 
Back
Top Bottom