Siku 100 za JK magogoni na ndoto za Maisha Bora kwa watanzania!

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
Jana mh. JK katimiza siku 100 za utendaji wake km Rais ktk kipindi chake cha awam ya 2, swali na kitendawali kikubwa miongoni mwa wasomi ni juu ya ukimya wake juu ya mambo ya msingi yagusayo taifa, mfumuko wa bei umekuwa ukipanda juu cku hadi siku, gharama za maisha zipo juu, mtatizo na migomo vyuo vikuu, nchi gizan, madai ya katiba na sakata la ufisadi. Binafsi ukimya wake ni tatizo kwa taifa na nashindwa tambua nin mwisho wa haya, i mean taifa litadhurika vp na tutegemee nin toka kwake. TUJADILI SOTE KWA PAMOJA!
 
Siku zote huwa nashindwa kabisa kuona mbele ninapomzungumzia rais.. Ukweli ninaouamini ni kuwa hatamaliza miaka 5 akiwa madarakani,sijui ataondokaje ila hatamaliza..hii ni imani yangu.,siombei mabaya juu ya mwanadamu mwenzangu, bali uwezo aliopewa ndipo unapoishia
 
Mkuu, tukikuwa na choice tukaamua maisha magumu kwa kila mtanzania. Tuvumilia tu!
 
Jana mh. JK katimiza siku 100 za utendaji wake km Rais ktk kipindi chake cha awam ya 2, swali na kitendawali kikubwa miongoni mwa wasomi ni juu ya ukimya wake juu ya mambo ya msingi yagusayo taifa, mfumuko wa bei umekuwa ukipanda juu cku hadi siku, gharama za maisha zipo juu, mtatizo na migomo vyuo vikuu, nchi gizan, madai ya katiba na sakata la ufisadi. Binafsi ukimya wake ni tatizo kwa taifa na nashindwa tambua nin mwisho wa haya, i mean taifa litadhurika vp na tutegemee nin toka kwake. TUJADILI SOTE KWA PAMOJA!
Kwa kuwa walio wengi ( as per NEC ) walimchagua , basi tumwombee mema rais wetu katika safari hii ya kwenye matope, kweli atafika amechoka ile mbaya.
 
Wakuu mnasema sana kiongozi mbona kabla hata hajafikisha hizo siku mia kafanya mambo mengi mazuri kama:

Kutoijua dowans
kusababisha mgao wa umeme
kutembea na private ambulance ya ultim ate security ili awasidie wananchi anapotembelea
.....
 
nimesahau kutokana na uelewa wake ktk hizo siku 100 hajateua wakuu wa mikoa na wilaya
 
aaah! Mh Jk yupo ful nondo, kaongeza idadi ya wanawake Bungeni, kaongeza mipasho huko mjengon teh! Mwanamke spika wa kwanza kapatikana, kanuni ya 64 B imejulikana, ooh jk katufanyia makubwa!
 
Serikali haina pesa na ahadi zilikuwa za pesa. Hazikuwa za ubunifu wa kuvuna maliasili za nchi. Pesa, pesa na walimaliza yote kwenye uchaguzi we huoni mambo mengi yamesimama hayaendi kabisa:::::::::::bump:
 
JK ? mmh wengine hata tulishamsahau kama ndio kiongozi wa tz
kazi kwenu mnayetegemea asali toka kwake
 
Maisha bora ni relative term for different people!

Maisha bora yapo ikiwa utaamua kuwa creative..hakuna sheria mbovu za kuzuia watu kutofanya kazi kama zamani

Tafutaeni maisha siyo msubiri yaje bila kuchapa kazi..sunday school mus t help you guys
 
Kuishi kwa kumzungumzia JK ni kupoteza muda wetu. Rais anaongoza nchi kwa kujibu sera za Dk. Slaa! baada ya kuona za kwake hazitekelezeki ameintroduce mipasho bungeni eti kwa kuwa yy ni mtu wa pwani. I salute u JK kwa kuongoza nchi kwa kufuata mawazo ya Makamba na Tambwe Hiza
 
Streotype hizo...JK kanyanga twende...wananchi wataamua 2015..tunaona kazi yako mkuu huku mitaani kwetu.
 
Maisha bora ni relative term for different people!

Maisha bora yapo ikiwa utaamua kuwa creative..hakuna sheria mbovu za kuzuia watu kutofanya kazi kama zamani

Tafutaeni maisha siyo msubiri yaje bila kuchapa kazi..sunday school mus t help you guys

we shka adabu yako,hvi huwaoni watanzania wanavyohangaika na maisha?wewe wa wapi wewe?vjana wanvohangaika huwaoni?akina mama huwaoni?asubui watu wanapogombania daladala huwaoni-akina mama ntilie huwaoni?serikali inawakandamiza hawa na haiwawezesh hata kdogo,ucjione hapo ulipo ukajidai wewe mjanja!serikali inaposhndwa kudhbiti inflation then wananch wake ni maskini ni tatzo,je unadhani mtanzania atakuaje na maisha bora wakati umeme ni anasa kwake,mafuta ya taa yapo juu,bdhaa muim zpo juu na huduma za uhakika za afya hana?ALA,serikali kaz yake ni kuandaa michakato ya maisha bora-then wananch watafata,ACHA UBWEGE WEWE
 
Yupo kwenye Auto Pilot (AP) bila kufanya settings unategemea nini siku 100 hakuna cha maana maisha yamekuwa magumu sana nimetembelea usipitali ya wilaya ya Bagamoyo yeo niliyojionea wewe acha tu ,mtoto anatakiwa kupima UTI Mama kapewa kachupa cha mkojo ilipate mkojo wa mtoto kwakuwa mtoto ni mgonjwa imechukuwa maasa kadhaa hajapata matibabu huwezi amini niliwauliza nurses walikuwa wanatoa huduma kama wana kifaa maalumu cha kucollect mkojo (urine collector) ukiacha kichupa alijibu hicho ni nini na wala hawakijui nilisikika sana nikaenda moja kwa moja kwa dr. Nikaomba amsaidie yule mama ili mtoto apate mkojo ndipo atatumia hicho kifaa akapata vipimo. Hiyo imenisikitisha sana leo
 
Back
Top Bottom