Sikio la kulia huathiriwa zaidi na mionzi ya Simu- KUMBUSHO. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sikio la kulia huathiriwa zaidi na mionzi ya Simu- KUMBUSHO.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, May 30, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Nukuu :-
  "Akijibu swali la Mbunge wa Pangani Mh Rished Abdallah,
  Naibu waziri Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, Dr Maua Daftari, alisema matumizi ya muda mrefu ya simu za mikononi ni hatari, hivyo tunawashauri wananchi watumiaji watumie vifaa vinavyokuja na simu kwa ajili ya kupunguza athari husika.
  Wataalamu wa mionzi wamethibitisha matumizi ya sikio la kulia wakati wa mazungumzo ya simu yana madhara makubwa kiafya, kuliko madhara yapatikanayo kwa kutumia sikio la kushoto.
  Fikiria unapotoka kuongea kwa simu takriban nusu saa, unapomaliza maongezi sikio hubaki na m'binyo wa kutosikia kama kawaida yake.
  Na endapo ungewekewa kifaa maalumu cha kuliangalia sikio lako muda huo, pengine usingerejea kuongea na simu.
  Kwani sikio hua jekundu kama moto!
  Na hayo ndiyo hua madhara ya nje tu, wakati kwa ndani madhara hua ni makubwa zaidi.
  Kwa vile bado matumizi ya simu ni kitu kisicho epukika, basi tunawashauri mtumie zaidi sikio la kushoto".
  MWISHO WA NUKUU
  Wadau nimeleta kumbusho hili nikielewa si members wote waliobahatika kulijua hili, hivyo itakua ni faida kwao, nami nitalipwa na Mungu kwa hili.
  Aidha kwa wanaofahamu hili nawakumbusha.
  Na atakaetaka Source afanye backdate gazeti Tanzania Daima Jumatano, August, 13, 2008
   
 2. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Shemejiiiiiiiiiiiii. Asante sana kwa kutukumbusha BTW ushaonana na Beibe.nasty make alikuwa analalamika sana hapa mara umemgaya! its me formerly Charminggirl
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Sorry nikuulize swali japo kuwa aliyesema ni mwingine "ati kwani sikio la kulia nivibaya kuliko sikio la kushoto 4 the sametym yote ni masikio"
   
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Shem ,
  Kwanza hongera kwa kuja na new ID , Alafu kumhusu Beibe fatilia Uzi wenye headin' "Wiki ijayo nzima nitakua Mwanza" utaona nilivyom'bembeleza nimi use karoliz na ma'energy kibao kum'pliz to back on board together , habembelezeki! Mara aseme hadanganyiki !
  Untill i think their is somethin' behind the fabric so far !
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mimi binafsi ninaoufahamu kibaolojia kwamba viungo vyote vya kulia viko powerfully than left organs.
  Kwa faida yako ktk kuhakikisha hili, fumba jicho lako la kushoto utumie kuonea la kulia kwa sekunde kadhaa, kisha ufanye kinyume chake utapata jawabu!
  Hata kwa wale tunaowaita mashoto (yaani miguu & mikono yao ndiyo yenye nguvu)
  lakini si kwenye macho na maskio napo wanakua maleft hapana.
   
Loading...