Sikio La Kufa Halisikii Dawa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sikio La Kufa Halisikii Dawa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ndallo, Oct 6, 2010.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Ndugu Watanzani wenzangu kuna gharama kubwa mno tutalazimika kulipa kwasababu ya ukaidi wa mgombea wa Chama cha Mafisadi (CCM) kukumbatia Mafisadi.Orodha yao ni ndefu mno walionadiwa na kuombewa kura na JK. Alipaswa afanye angalau ''Usanii" wa kuuchukia ufisadi hadharani kama ana ushirika nao nyuma ya pazia. Kulikua kuna haja gani ya kwenda Monduli/Rombo/Bariadi na kule Igunga? Kweli Sikio la kufa Halisikiii Dawa! Nitakwenda kupiga kura Tarehe 31 kuwaondoa Mafisadi walioshikwa mikono juu kwa kisingizio cha kudanganywa eti walisingiziwa!!! "MUNGU IBARIKI TANZANI!
   
Loading...