SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA.

Faru John II

Senior Member
Dec 27, 2016
134
135
Maisha yanapungukiwa mvuto kadri mshale wa saa unavyozidi kutafuna nukta katika ardhi yenye kila aina ya rasilimali zenye thamani zaidi duniani.

Kwani mkisema ukweli na kukosoa hamuwezi kupata kazi? Maana, naona tumbo linaunguzwa na tindikali lakini midomo yenu inasifu na kuficha uhalisia. Ni nani atamfunga paka kengere kama wenye PHD(digrii ya uzamivu) wote wanataka wateuliwe?

Jamaa wanasisitiza zipo fursa kwenye Kilimo. Kilimo? Kwani hawajui mvua inasuasua Karibu maeneo yote? Mabwawa yanakauka, mito inakauka, pesa zinakauka mifukoni, wewe utamuuzia nani ikiwa sokoni wamebaki wagalalizaji pekee?

Kila mtu mwongo tu, sio baba wala mama wa familia hii yenye wazazi wenye kila aina ya maneno matamu.

By the way, this is Tanzania Nchi yenye Uhaba wa Wasiasa Wakweli.
 
Umeonaeeeh!nitakutafuta tuhamie Pakistani kulima unga.Dhiki gani hii kutwa kulalama tu.
 
Sijui nihamie somalia au syria,hebu nipeni ushauri wakuu maana maisha yamezidi kuwa magumu sana!!
 
Back
Top Bottom