Sikiliza Tz Arusha based FM station online

paesulta

JF-Expert Member
Mar 13, 2009
227
29
....kwa muda nimekuwa nikilalamika kuwa hatuna local based FM station ambayo tunaweza kusikiliza on line apart from Radio Maria,na inaonekana kuwa vijana wa arusha wamekuja kututoa kimasomaso,(i wonder radio za vijana kama cloudds kwa nini bado hawajaingia online...!!!??)...
check it out,its pretty decent.........


http://www.mambojamboradio.com/
or

http://radio.securenetsystems.net/radio_player_large.cfm?stationCallSign=MJFM


bila kuwasahau wakubwa wa bongo radio ambao wanajitahidi katika kutuweka karibu na nyumbani
 
Paesulta,
Thanks, man. I had to put up with some Kenyan stations yaani basi tu.
I hope this wakes the sleeping giants up.
 
As expected..the sound quality is pathetic. Siwezi umiza mashkio yangu hata kwa hela sikubali.
 
Back
Top Bottom