Sikiliza radio 14 za Tanzania ukiwa kokote duniani

Big up sana imetulia
zipo radio ambazo hujaweka tena ya kwanza kuwa online ni radio maria tanzania, clouds, choice FM,RFA,Upendo FM ,sauti ya Injili moshi nk ingekuwa sio vibaya ukafanya kama dullonet ukatuwekea na moja au mbili ambazo haziko online lakini unaweza kuzirusha kwa computer yako au blog yako mfano TBC FM,
 
Waweza kuwasiliana nami kupitia forum hii au kwa simu na. 0753 300 004 ili tuweze kuunganisha kituo chochote cha radio kinachorusha matangazo yake kutokea Tanzania ili kiweze kusikika dunia nzima. Masharti mepesi na vigezo kuzingatiwa!
 
Mkuu na ITV/TBC hamuwezi kuunganisha?
Utaalam tulio nao ni kuunganisha radio ili ziweze kusikika kwenye internet. Tutakapo kamilisha zoezi la kuziwezesha angalau 2/3 ya radio 84 zilizosajiliwa na TCRA kuweza kusikika nchi nzima na dunia yote, ndipo tutaanza kutekeleza mipango mingine ya maendeleo ya utangazaji. Hivi sasa tunao mpango mkakati wa kuziwezesha radio zinazo sikika kwenye internet kupitia kwetu, kuanza kurusha matangazo yao wakiwa mahala popote duniani kupitia internet pia!
 
Back
Top Bottom