Sikiliza Namna Wakenya Wanavyofikiri Pale Serekali Yao Inaposhindwa Kuwajibika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sikiliza Namna Wakenya Wanavyofikiri Pale Serekali Yao Inaposhindwa Kuwajibika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by The Prophet, Apr 21, 2011.

 1. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 2. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,017
  Likes Received: 3,202
  Trophy Points: 280
  Ama kweli wakenya ni wanaume marijali aisee.
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  ya damn right iam......

  semeni nyie mie nikisema itaonekana najipendelea frankly watz it'll take century kutukuta wakenya.....watz siasa kwa kila kitu hata mambo ya msingi
   
 4. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,684
  Likes Received: 641
  Trophy Points: 280
  Kuwakuta wapi?....cowards kama nyinyi hamuwezi kuwa kama watz,while we were fighting for our brothers/comrades down south,you were trading with the boers!!....what a b*tch a*s nation!!!
   
 5. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Moi aliwahi kumwambia Nyerere shukuru Mungu wewe unatawala maiti na mimi natawala binadamu...
   
 6. N

  Nakwetu Member

  #6
  Apr 21, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakenya hongereni sana. Kweli Kenya ina wanaume kamili ambao lao ni HOJA sio porojo za siasa au dini. Msimamo kama wananchi. Hapa kwetu Tz ni porojo za KIKE tu kutafuta umaarufu kama wasaka wachumba, SHAME on them.
  Ndio maana EAC wanaume wa Tz wataolea wote na wa Kenya, kazi kwenu.
   
 7. k

  kimondo Senior Member

  #7
  Apr 21, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Looh! Huitendei haki nchi yako, nadhani Kenya huifahamu vizuri.
   
Loading...