Sikiliza mwongozo wa spika kuhusu posho za wabunge wa ukawa

OGTV

JF-Expert Member
May 22, 2016
353
167
Sikiliza mwongozo wa spika kuhusu posho za wabunge wa ukawa.
Mwongozo wa Spika kama ulivyoombwa na Waziri Dk Mwakyembe na Ally Keissy kuhusu posho za wabunge wa kambi rasmi ya upinzani wanaogomea vikao vya Bunge wakishinikiza kuwa hawana imani na Naibu spika Dk Tulia Ackson.
 
Back
Top Bottom