Sikiliza mrembo huyu alivyotapeliwa na mganga wa kienyeji baada ya kumtishia

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
mganga alimtishia kuwa kuna watu watamfanya kichaa na wamekuja kwake na kumwambia ampe hela ili asifanye tukio hilo
 
Clip imekata sekunde za mwisho mwisho lkn inavyoonekana huyu mrembo alishtukia issue, sidhani kama alitapeliwa.
 
Asante kwa kutujuza!!!
Utakuwa umesaidia wengi sana wanaoamini katika ufundi wa wazee waliotoa salaam kusalimika kuibiwa..wizi sasa hivi umeadvance sana na ujue kuna miaka 4 bado!
 
Asante kwa kutujuza!!!
Utakuwa umesaidia wengi sana wanaoamini katika ufundi wa wazee waliotoa salaam kusalimika kuibiwa..wizi sasa hivi umeadvance sana na ujue kuna miaka 4 bado!
hahaaa, ndio faida ya mitandao mkuu, kupeana elimu na taarifa
 
Back
Top Bottom