Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,058
mganga alimtishia kuwa kuna watu watamfanya kichaa na wamekuja kwake na kumwambia ampe hela ili asifanye tukio hilo
alikuwa ameshawishika mkuuClip imekata sekunde za mwisho mwisho lkn inavyoonekana huyu mrembo alishtukia issue, sidhani kama alitapeliwa.
hahaaa, ndio faida ya mitandao mkuu, kupeana elimu na taarifaAsante kwa kutujuza!!!
Utakuwa umesaidia wengi sana wanaoamini katika ufundi wa wazee waliotoa salaam kusalimika kuibiwa..wizi sasa hivi umeadvance sana na ujue kuna miaka 4 bado!
mzee tapeli hatariHahaha hiyo salaam ya wazee sina hamu
mwenyewe ungeingia mkenge hapoSisi mizimu tunataka damu ya mbuzi hahahaaaa