Sikiliza Mahojiano Niliyofanyiwa Na Hoyce Temu Wa ' Mimi Na Tanzania'- Channel Ten

maggid

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
1,084
1,246
Ndugu zangu,
Kipindi ni ' Mimi Na Tanzania' - Channel Ten. Kilirushwa mara ya kwanza Jumapili iliyopita, leo Jumamosi ni marudio, saa 9.30 alasiri. Unaweza pia kuangalia sehemu ya kwanza ya mahojiano kwenye Youtube; miminatanzania - YouTube
 
Haya subiri nisikilize kwanza narudi ku-comment kama kitakuepo cha ku-comment Mpwa
-----------------------------------------------------------------------------------------------------------
Nimeiskiliza fasta fasta naona umenikumbusha kifo cha Kamanda Mwangosi na hawa Mbwa Koko wa Iringa, hivi kwanini yule Mbuzipori wa Iringa hajahamishwa hadi leo? au kupewa adhabu yoyote? Ila na wewe usiwatetetee polisi
 
Back
Top Bottom