Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

Kesho kuna mizigo kama 5hiv inaingia hapa..NATAKA NIANZE KULIPA MADENI YA REQUEST ZENU
 
Kazi Nzuri Sana Man...

Kuna hii play list naimani utaongezea na zako,

1. Lila - I Spy
2. Alpha Blond ft Fally Pupa
3. Kreesha ft Shaggy & Cost
4. jaz elise -For you
5. chronixx - love for you
6. Rosalia ft travis scot - tkn
7. Camilo - Vavorito
8. Clean bandit - mama
9. John legend - dont walk away
10. Busy Signal - Cant Get Enough

bado sijapata muda nitulie nitakuandalia tracKs kibao tena sio kukupa majina kama hivi nitakutumia kabisa... kuhusu za bongo fleva zile Old nitafanya kukuunga na magroup ya nyimbo hizo whatsapp na telegram.
kwema??
Nami
Naomba niunge kwenye hayo magroup au weka link mkuu
 
Back
Top Bottom