Sikiliza CCM Ilivyofilisika. Hakuna CHADOMO Washington DC. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sikiliza CCM Ilivyofilisika. Hakuna CHADOMO Washington DC.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Jul 29, 2012.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Kibajaji Lusinde mwingine huyu hapa.... Hivi huyu ndiye kiongozi wa CCM DMV? Kha. Aibu wabeba boxi vijiweni wamejikusanya na kuanza kuwatapeli watanzania.....huyu mtu domo bakuli anavuta bangi nini? hawezi hata kuongea.
  -CCM haina wapinzani
  -Wabunge wa Upinzani Punguwani
  -CCM imewapa upinzani majimbo ya Arusha ili tu kuwafuta machozi nk.
  -JK ni mtu mwenye busara sana. Amewahurumia wapinzani waingie bungeni
  -Mbunge wa Iringa anaacha kuwaongelea wana Iringa, anafika kung'angania kesi ya Kanga
  -Lada (Radar) ilikuwepo tangu miaka hiyo. Lada ilikuwa na makosa kidogo
  -Wapinzani fungeni kanga mkacheze ngoma bungeni
  -Lasaba tunajua kusoma na kuandika. Tunaweza kuwa viongozi
  -CHADEMA hawana sera, kazi zao ni viherehere
  -Dr. Slaa ni mpora wake za watu tu.
  -Mimi nalipa tax ya Obama, nyingine nataka nilipe nyumbani
  -Kufika tu marekani na kuishi "Ni digrii" Kufanya mambo yako tu, "ni masters"
  -Mtanzania hata umpleke urusi, habadiliki. CCM tu ndo itawasaidia
  -Mwenzangu kutoka uzuri mimba. Nawaonya wapinzani wasitoe matusi. watoe sera.
  -August 23, mvua DC. Mambo mazito ufunguzi wa CCM DC. Wanamuziki balaa, raha mwanangu. Tunainua vipaji vya wasanii na viongozi kutoka Uongozi wa Juu pamoja na Diamond. Tunainua Vipaji ndio maana tunaanzisha CCM DC.
  -CHADOMO, CHEFUA (Cuf) hawawezi haya yote.
  -Wanachama wa CCM Hoyee ndio wanaokuja kula raha. Njoo tu na kadi
  -Chadomo wasijaribu kuja hapa kuvuruga laha zetu.
  -CCM ina wanachama 300

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Benjamin Mwaipaja na Yasini Randi... Hao ni vilaza. Ntashangaa sana kama kuna mtu atategemea hao jamaa wazungumze jambo la maana..
   
 3. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Usemayo mwanangu yana ukweli. Wazungu husema show me your friends and I will tell you who you are.

  Kwa mtu mwenye akili timamu tena aishiye ughaibuni kujiunga na CCM ni kudhihirisha uhovyo wake ingawa kujiunga na chama chochote ni haki binafsi ya kikatiba.

  Kimsingi wengi wanaoanzisha matawi ya CCM ughaibuni ni wale walioshindwa maisha au walioingia huko kinyemela.

  Wanaona aibu watarejeaje nyumbani wakiwa wachovu. Hivyo wanatafuta njia ya mkato ya kujiunga na genge la wezi wa taifa. Juzi juzi mmoja wao W J Malecela alirejea nyumbani na kwenda kugombea vyeo vya ajabu ajabu ukiachia mbali kutoa mawazo ya mgando.
   
 4. a

  anney Senior Member

  #4
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 9, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Freedom of speech!
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Benjamini Mwaipaja alikuwa Konda wa daladala Bongo no wonder kufika Marekani kwamba kwake ni Degree, jinga kabisa hili jamaa.
   
 6. m

  manucho JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 3,410
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Anaonekana ni zaidi ya Zero, CHemba Lusinde type ndiyo vijana imara wa CCM hao. NA kweli wako imara wanajenga chama pale kwa Obama safi sana hawa ndiyo tunaowataka. Ongezeni wengine type yenu imara kama nyie
   
 7. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hao wanaishi marekani au Mererani? imenisikitisha sana ndio taifa la ccm la vijana hao?? halafu utegemee arudi tz agombee ubunge afanye maajabu kwenye nchi ya asali na maziwa? hakika tuna safari ndefu speed yangu imepungua aisee nilikuwa nimefikia 80km/phr nimerudi mpka 30km/phr duh,
   
 8. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ama kweli!!!!! kumbe kweli ujinga ni adui wa jamii!!
   
 9. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  hili ni janga la taifa. hawa jamaa wanatia aibu kweli kama kweli ndio wana ccm, tena viongozi. midomo michafu kama lusinde na mwigulu
   
 10. MPIGA ZEZE

  MPIGA ZEZE JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 515
  Trophy Points: 280
  OMG!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  Mimi ninaichukia CCM kwa ujumla. Lakini pia ninachukia tabia hii mpya ya uanzishwaji wa matawi ya vyama vya siasa (iwe chama tawala au pinzani) ughaibuni - inadhihirisha mtindio wa ubongo wa Wabongo kama Ndugu Mwaipaja mwenyewe anavyokiri kwamba "mtanzania hata umpeleke Russia habadiliki". Pamoja na kuishi DMV, Ndugu Mwaipaja ameendelea kuwa mbongo yule yule.
  Pamoja na kuchukia hayo yote, kwa vile mmeamua kuanzisha tawi hapo DMV ninawashauri mtafute msemaji wa chama mwingine. Huyu ataendelea kuwatia aibu na kuthibitisha madai kuwa wanaojihusisha na siasa za vyama ughaibuni ni failures, losers, and the like. Nimevutika kumsikiliza tokea mwanzo hadi mwisho kwa kutarajia kuwa pengine angefika mahali akazungumza vitu vilivyo katika mtiririko wa mantiki lakini sikupata kitu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 11. b

  beyanga Senior Member

  #11
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  du huu ni umoja wa william wote ni walewale maskini:A S 465:
   
 12. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  hili kundi lote ni sawa na machizi kupewa bunduki kuwalinda machizi wenzao. Lusinde LeMutuz wote kundi moja tu hawana tofauti. Ila hawa pia naona wanamuelekeo wa kurudi kugombea ubunge majimboki kwao. Kazi kweli kweli. JK kaingizwa choo cha kike na wabeba boxi DC
   
 13. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #13
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Nimeamua kuwakatisha, sipati cha maana wanachozungumza!! Ni full ushuzi kwenda mbele!
   
 14. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #14
  Jul 30, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  wanasayansi wafanye utafiti waje na jbu kama kuna uhusiano wa kupungua kwa akili na kuwa ccm.
  tunajua bangi inavyoathiri ubongo na ni muda gani inatoka kichwani baada ya kuacha ila kwa ccm bado hatujajua.
   
 15. Ston Merchant

  Ston Merchant JF-Expert Member

  #15
  Jul 30, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Inasemekana bangi inaathiri ubongo ila nahisi we hv a new bang version........... CCM

  ukiivuta hii usipokua kichaa basi utakufa.....
   
 16. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #16
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  NATAMANI SANA NAPE AU MKEREKETWA WA CCM AJE ATETEE HUU UPUUZI WALIONGEA NA KUJISIFIA CHAMA MAKINI DUH UNADANDIA KWENYE SHULE ZA WENZENU ETI TUANZE USHIRIKIANO WA MASHULE NA NINA VITABU VINGI SANA VYA KUPELEKA NYUMBANI HIVI UNAJUA HIVYO VITABU VITASOMWAJE NA HUKU HATA WATU KUSOMA a,e u o u hawajui? wanafunzi wamechaguliwa kujiunga kidato cha kwanza hawajua kusoma na kuandika hilo nalo usubiri msaada kutoka marekani, yaani umejiabisha aibisha sana haki ya mungu nimesikia vibaya sana hivi kumbe kupanda ndege nilifikiri mtu anaweza kubadilika tu hata yale mazingira kumbe hakuna na huyo mwingine hapo sijui anaitwa nani nae kakaa kiswahili swahili kiumbea umbea, kimajungu majungu eti viherehere wewe una nini si kimbelembele? mungu sijui nifanyeje wakati mwingine JF inanifurahisha wakati mwingine huwa inanihuzunisha sana kwa baadhi ya hawa watu, nalipa kodi ya obama sasa imetusaidia sisi nini zaidi ya kuwaongezea revenue ili waje na agenda zao za kutugeuza nyuma kuwa tuwe mashoga? au hilo nalo umekubaliana nalo kuwa uko tayari kufanyiwa hivyo?? shit nyambafu kabisa mijutu mingine hustahili kuishi sehemu yoyote zaidi ya china ili unyongwe vizuri. aibu, aibu aibu na ccm yenu pooooooooooooooooooooooooooo!!!!!
   
 17. MsemajiUkweli

  MsemajiUkweli JF-Expert Member

  #17
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 8,918
  Likes Received: 12,134
  Trophy Points: 280
  [h=2]Ukweli husemwa:[/h]

  Better to remain silent and be thought a fool than speak and remove all doubt.
  Bora kujua hujui kuliko kufikilia unajua kumbe hujui.

  Hivi kweli huyu ndiye katibu mwenezi wa CCM? Ukiangalia hata body language yake, inatoa maswali mengi bila majibu na cha kusikitisha zaidi, hata anayemuhoji anashindwa kuelewa huyu jamaa anachokiongea nini.

  I'm sorry for CCM in acting like "dodoki".

  By having people like him as Leader, no wonder CHADEMA looks like smart and party in power.​
   
 18. D

  DR. RICHARD Senior Member

  #18
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wasitupotezee muda hao kama wanaweza si waje humuhumu nchini wakutane na wazee wa m4c, kwanza wameuza utu wao na wanauza nchi yao kwa kupiga kelele ughaibuni wakati kwao matatizochungu nzima
   
 19. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Hapo ndipo chama changu ccm kinaponiangusha,ina maana huko hakuna mtanzania mwenye upeo zaidi ya huyu?
   
 20. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #20
  Jul 30, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Hakuna watu ninaowadharau kama wale ambao wako kutayari kutawaza kinyesi bibi vizee wa kidhungu lakini wanaona si wajibu wao kutawaza watoto wao wenyewe. nawadharau vibaya sana.
   
Loading...