Sikiliza Bongo Radio Kwenye Gari

Geeque

JF-Expert Member
Aug 17, 2007
936
316
Kama unatumia simu yenye internet hasa yenye unlimited data plan na simu yako ina bluetooth na gari yako ina bluetooth kit basi unaweza kuipata Bongo Radio fresh kabisa ndani ya speakers za gari yako kwa quality ya juu kabisa. Kama ukiwa na swali lolote kuhusiana na hii usisite kuuliza. Mimi hivi sasa nakula Bongo Radio LIVE nikiwa mitaani napiga misele kama kawa.
 
Last edited:
Popote pale duniani Penny ili mradi tu simu yako ina internet na hivyo vitu vingine nilivyosema.


Bila kusahau ulimited bandwidth plan from your provider,
sie simu zetu za kuweka vocha za buku buku, itakuwa ngumu sana
 
Bila kusahau ulimited bandwidth plan from your provider,
sie simu zetu za kuweka vocha za buku buku, itakuwa ngumu sana

Yeah killo ukiwa na ulimited data plan ambayo huwa inajumuisha unlimited bandwidth ndio bomba.

Na teknolojia hiyo hiyo pia inaweza kukusaidia kutumia simu yako as a modem kwenye laptop zinazo-support bluetooth na unaweza ku-connect wirelessly kati ya simu yako na laptop na hivyo kuweza kutumia internet kwenye laptop yako bila ya kuhitaji USB cable.
 
DJ Kaycee anaingia LIVE kuanzia saa tano kamili(US Central Time) mpaka saa nane leo siku Ijumaa 24 mwezi wa 7, 2009. Tune in Upate mamboz.
 
GQ, jamaa yako mtundu sana......namsikiliza Jay hapa,cant wear tight jeans...
 
Babu umelala? mzee wa kukaa macho......

naona kimyaaa, slot ya Monday vipi?

Hiyo pouwaaa kabisa ukitaka hata leo tufanye mambo ya testing au hata DJ D aje kwenye Villa yako afanye mamboz. Slot ya Monday iko open kabisa.
 
GQ, jamaa yako mtundu sana......namsikiliza Jay hapa,cant wear tight jeans...

Yeaah Jamaa yuko makini sana, sasa ukiweza hebu njoo Chicago 8/8/09 kwenye Summer Breeze BBQ
 
hahahahahah Mazee wewe uko fasta na mashori tu, hapana ni Msela wa Houston ndio atakuwa anafanya mamboz.
www.bongoradio.com
aaah mkuu unajua madj mashori wananichengua sana....alikuwepo dj shori yule alikuwaga miss mara nimesahau jina......alikuwa akianza kurusha kwanja hapo nikiwa na beer yangu ya safari ile yenye mbuyu lazima nibembee mneso wa ragammuffin.....huyu DJ Sky Nellor ananichengua alirusha kwenye all star game 2009.....niambie shori kama huyu sky nellor ngoma zake zitakuwa kali tu....
Sky_Nellor.jpg
 
Umemulizia DJ na nimemsikia akikurusha hewani, "Yo Yo ukiwa unajivinjari Jamii Forums".
kanipaisha? kudadadeki atakuwa dj mkali basi.....ngoja ni test fiber optic kama zishaaza kufanya kazi...maana yawezekana zina relax baharini bado
 
kanipaisha? kudadadeki atakuwa dj mkali basi.....ngoja ni test fiber optic kama zishaaza kufanya kazi...maana yawezekana zina relax baharini bado

Si muda mrefu kakurusha hewani. Nlidhani unasikiliza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom