Sijutii kuifahamu JamiiForums hasa Love Connect

Sasa unaonaje kaka Putini mkayajenga Pm? Na Mama Sabrina
Maana naona tayari mnaanza kuelekeana kila mmoja anaanza kujua strength na weaknesse za mwenzie na mnazirekebisha pia utapata na zawadi ya kuitwa Baba Sabrina Bure
 
Leo nimekushikaaaa
Wewe si unapondaga online relationship au hapa wapiii
( Leo leoo))))
Sio kwamba nakataa au nazipinga ,,ila nawapinga watumiaje wake ambao wanaingia kwalengo ilo.. Mimi naaimin hata mtu asipoweka matangazo bado utapendwa tuuu ....sasa unakuta mtu ndo anajipigia debe weeeeeeee ..waivi ndo napenda sana.

Mambo mazuri hayataki haraka..

Eti kama Mimi Leo hii niseme ,,Najiunga JF ili nipate mwanamke sabab wapo walopata ,,,zitakua hazinitoshi...kosea kote lkn usikoseee mahusiano.
 
Nimekupata
 
Sasa unaonaje kaka Putini mkayajenga Pm? Na Mama Sabrina
Maana naona tayari mnaanza kuelekeana kila mmoja anaanza kujua strength na weaknesse za mwenzie na mnazirekebisha pia utapata na zawadi ya kuitwa Baba Sabrina Bure
Kabisaaa kwanza napenda mtoto napenda sana watoto ,huwa nikiwaona najisikia raha ndo ktk PC ,,ndan ,ktk simu picha zawatoto wadogo ndizo zimejaaa kushinda hata zangu mim. So Ma Sabrina ,, hongera sana kua nasabrina .i hope nikatoto mazuri maana naww unautumbo mzuri.

Kuhusu PM namengineyo hayo nimambo yamuda.
 
Back
Top Bottom