Sijui utaratibu wa kufuatilia mafao ya kifo PSPF

baba so

New Member
May 24, 2017
2
0
Mzazi wangu (mama) amefariki na alinizaa peke yangu na alikuwa single mother sasa sijajua utaratibu wa kufuatilia mafao yake ya kifo pspf kwakuwa alishalipwa mafao yake ya mkupuo mwaka jana na amefariki mwaka huu mwezi wa tano....

Nisaidieni wadau nafanyaje?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom