Sijui niweke tittle gani..."KIZAZI CHA FACEBOOK"....."WAMEONA WAKIPIGA NA NGUO MTACHELEWA KUWAONA" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijui niweke tittle gani..."KIZAZI CHA FACEBOOK"....."WAMEONA WAKIPIGA NA NGUO MTACHELEWA KUWAONA"

Discussion in 'Jamii Photos' started by mirindimo, May 5, 2012.

 1. mirindimo

  mirindimo JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 523
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  401635_136917279773948_100003670316692_156661_512506859_n.jpg

  nIMEkuTana na hii picha katika pitapita zangu mtandao wa jamii hebu tizama kama kuna mwanao hapo..sasa hawa wanasoma kweli...? mama koku am getting comfused....hivi tutafika kwa style hii....?
   
 2. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Wasauz hao mambo ya kawaida sana
   
 3. k

  kagame Senior Member

  #3
  May 5, 2012
  Joined: Dec 6, 2008
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Biashara matangazo! Pika vitumbua weka chini ya kitanda then kakae nje usubiri wateja, inakula kwako mazima hiyo.
  Hako kachalii ka katikati kanahusika kuondolea stress zilizosababishwa na 'ba riz' kutuletea sheikh yule yule tofauti msikiti tu.
   
 4. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ulienda kufanya nini huko si utulie jf
   
 5. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mbona hizo ni sare za shule?
  je ungeona za waalimu wao si ungeziba macho?
   
 6. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,485
  Likes Received: 4,759
  Trophy Points: 280
  You are NOT sure to sell unless you market yourself-Amavubi
   
 7. nachid

  nachid JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  ar students! my god hw we get ther?
   
Loading...