Sijui nini kimetokea sasa hivi wasanii wamekazana kuimba kuhusu ngono

MR BINGO

JF-Expert Member
Feb 12, 2016
1,092
2,270
Miaka ya nyuma nyimbo zilikuwa zikitoa ujumbe wa mapenzi (zilikuwa zikiitwa nyimbo za mapenzi) kwa mfano:

TID ft Jay Dee - Understanding
TID - Asha
Jaydee ft Matonya - Anita
TID - Zeze
Dully Sykes - Hunifahamu
TID - Nyota Yangu
Jaydee ft Blue - Wangu
PNC ft Mlue - Mbona
Ray C - Unaifuata Nini
Q chief - Uhali Gani n.k


Sijui nini kimetokea sasa hivi wasanii wamekazana kuimba kuhusu ngono in such a way it is too much .sijui kama wanajua kwamba kuna kizazi kinawaangalia na kinawaiga yaan sasa hivi ni mwendo wa "kusafisha mtaro" mara utasikia "Tango" mara sijui "Uno" mara hujakaa vizuri "Tekenya".

Baadhi ya hayo masotojo

Maua sama - Niteke
Rayvanyy ft Lavalava - Tekenya
Diamond - Jeje
Nandy - Na Nusu
Dimpoz ft nandy - Kata
Harmonize - Uno
Diamond - Gere

Na nyingine nyingi mnaweza mkaongezea.

Ushauri: Hao BASATA naona wanadeal na product ya tatizo badala ya kudeal na tatizo lenyewe yaani wanashindwa kuwaita wasanii wakawaelekeza potential waliyo nayo na jinsi wanavyoitumia kupotosha kizazi na jinnsi ya kuitumia kwa usahihi. Wao wamekalia kufungia nyimbo tu halafu wiki mbili zikiisha wanamfungulia mtu anaendelea na utumbo uleule.
 
Mkuu siku hizi watu wanafata Ushabiki tu hawangaalii mziki una maana Gan ni mradi mziki una Mdundo na sauti nzuri basi hawafatilii wasanii wanacho Imba.

Hii ni hatari sana miaka ijayo kutakuwa na Nyimbo sasa za Uchi kabixa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyakati hazifanani mkuu. Wanaimba kutokana na mahitaji ya wakati. Hawa jamaa wanajua soko lao vinginevyo wangeacha kuimba. Hapa tulipofikia bado sana, omba Mungu akupe uhai ifikapo 2030 hali itakuwa tete zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Raia ndiyo wana-shape aina ya mziki wanaouhitaji au wanamuziki ndiyo wana-shape raia wapende aina gani ya mziki?
 
Unataka waimbe nyimbo za "Afunguliwe Mandela" wakati Mandela kashafariki?

Au "Ali Mwinyi, Ali Mwinyi, Ndiyoo, Ndiyoo,Ndiyooo"

Wakati Ali Mwinyi kashastaafu?

Wanaenda na wakati kwa kuangalia soko linataka nini.

Sasa laumu hao wanaowakubali na kuwafanya waendelee kushika chati kwa nyimbo hizo.

Shabba Ranks alikuwa analaumiwa kuimba matusi.

Akawajibu watu anajua nyimbo za ujumbe, ila watu wakitaka nyimbo za slackness (matusi), yeye kama msanii anawapa watu wanachotaka.

Roots & Culture
Shabba Ranks
United we stand and divided we fall
Black man know yourself before your back is against the wall
Ah soh yuh stay
Yuh ongle ah tink one way
But I'm not a one way DJ
Coin two side, get that?
Hear dis
Shabba Rankin', reggae people's callin' out
People from east, west, north and south
Say, I'm the MC with the nasty mouth
Dem feel like is pure slackness alone I can talk about
I know me Roots and Culture
Who is the route Robert Nesta?
And Bunny Wailer follow after
It is music, mi charge for
Look how deh world noh stop suffer
What have black people under pressure
Some talk dis and some talk dat
Say everything from Shabba mouth is slack
I love roots and reality straight to the max
Because I'm a article oil abash
I love me Roots and Culture
To teach all deh youngster
Honor your mother and father
So dat yuh days will be longer
Some talk dat and some talk dis
Nuff ah dem ah fight 'gainst slackness lyrics
You have to please, John Public
When you're dealin' with deh, Reggae music
Shabba Rankin', you a murder
And it is music you charge for
Want to be a musical ambassador
Ah goin' teach all yeh youngster
Here dis
Some of dem ah bawl how dem want culture
And some of dem waah people be vulgar
I rather to stick to I culture
Than to be a dirty character
I love me Roots and Culture
I goin' teach all yeh youngster
It's a new page the Ranks turn over
Teach 'em just like a teacher
Make them listen to me like a pastor
Woy yo
Shabba Rankin', reggae people callin' out
People from east, west, north, and south
Say I'm deh MC with deh nasty mouth
Dem feel like is pure slackness alone I can talk about
Know me Roots and Culture
See how black people a suffer
It's what have black people under pressure
Just because we don't stick together
Woy yo
United we stand and divided we fall
Black man know yourself before your back is against the wall
Ten time rise, and ten time fall
Oh, Shabba is stronger then deh great China wall
Know me Roots and Culture
Is a new page me turn over
Mek up mi mind to teach the youngster
Teach the youth dem like a teacher
Make dem listen to the Ranks like a pastor
Some talk dis and some talk dat
Say everyting from me mouth is slack
I love roots and reality straight to the max
Me can't understan' how, black can kill black
I know me Roots and Culture
Who is the root Robert Nesta?
And Bunny Wailer follow after
What about Jacob and Peter
Jimmy the Pioneer in Jamaica
Know about your Roots and yuh Culture
Else you will fade out forever
Live good in your neighborhood
Live good and live good as you should
Shabba Rankin', you a murder
It is music me charge for
Some talk dis and some talk dat
Say everyting from Shabba mouth is slack
I love roots and reality straight from the max
Because I am a article oil abash
Ah, love me Roots and Culture
It's a new page I turn over
Teach the youth dem like a teacher
Make dem listen to the Ranks like a pastor
Come now
See, you just
Jump aroun' if you love culture
You love culture you ah goh free Mandela
Come now
Wine up yuh line if yuh love culture
Tell Shabba to stop being vulgar
Change up mi style and ah change mi order
Have the lyrics now to teach the youngster
Source: LyricFind
 
Sifurahii kinachoimbwa, lakini nakisikia.

Je tumlaumu Tecno, na tuishurutishe mamlaka kuifungia iwapishe Samsung na iPhone? Wakati huo tukiwa tumepuuzia iTel?

Jibu ni Hapana. Tecno kaja na wakanunua, akagundua anapendwa akaongeza na nakshi nakshi kama Camera Nzuri, Storage kubwa etc. Asingependwa alipokuja basi angeshasepa kitambooo.

Nachomaanisha hapa wa kumlaumu ni shabiki, ndio waliombadili Dully Sykes nae toka Rap mpaka kuimba, kisha kuimbia kitanda. Wakamtoa Diamond kwenye "Mbagala", " Lala salama" mpaka kwenye "Jeje".

Unaweza msikiliza Vitals Maembe though. Life is full of options. Hakikufai achana nacho.

Shinda mechi zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So unachotaka kusema ni kwamba sasa hiv mapenz yamefariki imebaki ngono so watu hawawez kuimba tena mapenz mpaka waimbe ngono mwanzo mwisho?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimwengu unatoka kwenda kwenye order unaenda kwenye disorder.

It's the second law of thermodynamics.

Chukua ndoo ya maji, mawagia tone la wino, utaona wino unatapakaa kwenye ndoo yote, wino haubaki sehemu moja.

Vivyo hivyo, zamani wapenzi waliandikiana mashairi ya heshima, siku hizi standards zimepungua watu wanaimbiana nitakubinua vipi, nitakushika vipi.

Hata nyimbo za Motown na Jodeci sio sawa.

Ndiyo muelekeo wa dunia huo.
 
Nyakati hazifanani mkuu. Wanaimba kutokana na mahitaji ya wakati. Hawa jamaa wanajua soko lao vinginevyo wangeacha kuimba. Hapa tulipofikia bado sana, omba Mungu akupe uhai ifikapo 2030 hali itakuwa tete zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyakati hazifanani YES lakini hao wanaosikika sababu kubwa ni monopoly ya soko waliyofanikiwa kuipata. Mtu ndio ameteka SOCIAL NETWORK, ana MEDIA HOUSE na Ndiye PROMOTER MUANDAAJI wa MATAMASHA anashindwaje KUPUSH UJINGA wake kwenye VICHWA VYA WATU?

Ila ngoma kali zipo nyingi tu ila hazipewi nafasi.

Listen
 
Sifurahii kinachoimbwa, lakini nakisikia.

Je tumlaumu Tecno, na tuishurutishe mamlaka kuifungia iwapishe Samsung na iPhone? Wakati huo tukiwa tumepuuzia iTel?

Jibu ni Hapana. Tecno kaja na wakanunua, akagundua anapendwa akaongeza na nakshi nakshi kama Camera Nzuri, Storage kubwa etc. Asingependwa alipokuja basi angeshasepa kitambooo.

Nachomaanisha hapa wa kumlaumu ni shabiki, ndio waliombadili Dully Sykes nae toka Rap mpaka kuimba, kisha kuimbia kitanda. Wakamtoa Diamond kwenye "Mbagala", " Lala salama" mpaka kwenye "Jeje".

Unaweza msikiliza Vitals Maembe though. Life is full of options. Hakikufai achana nacho.

Shinda mechi zako

Sent using Jamii Forums mobile app
I'm not thinking about myself. It is my society and the upcoming generation that am concerned about

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakiimba style ya old flava si mnawaita ma Legend! ila Nyimbo za Pepeta na jibebe ndio full shobo!
 
Miaka ya nyuma nyimbo zilikuwa zikitoa ujumbe wa mapenzi( zilikuwa zikiitwa nyimbo za mapenzi) kwa mfano

T.i.d ft jay dee- understanding
T.i.d -asha
Jaydee ft matonya - anita
T.I.D - zeze
Dully sykes- hunifahamu
T.i.d -nyota yangu
Jaydee ft blue - wangu
Pnc ft blue - mbona
Ray C - unaifuata nini
Q chief - uhali gani
........N.k


Sijui nini kimetokea sasa hivi wasanii wamekazana kuimba kuhusu ngono in such a way it is too much .sijui kama wanajua kwamba kuna kizazi kinawaangalia na kinawaiga yaan sasa hv ni mwendo wa "kusafisha mtaro" mara utasikia "tango" mara sijui "uno" mara hujakaa vizuri "tekenya".

Baadhi ya hayo masotojo
Maua sama - niteke
Rayvanyy ft lavalava -tekenya
Diamond - jeje
Nandy - na nusu
Dimpoz ft nandy- kata
Harmonize - uno
Diamond-gere
Na nyingine nying mnaweza mkaongezea

Ushauri: hao BASATA naona wanadeal na product ya tatizo badala ya kudeal na tatizo lenyewe yaan wanashindwa kuwaita wasanii wakawaelekeza potential waliyo nayo na jinsi wanavyoitumia kupotosha kizazi na jinnsi ya kuitumia kwa usahihi .wao wamekalia kufungia nyimbo tu halafu wiki mbil zikiisha wanamfungulia mtu anaendelea na utumbo uleule



Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mkuu wasanii wametoka kutukana kwa mafumbo siku hizi wanatukana live kabisa hata mtoto anajua, mtu anaimba eti "gusanisha nyama kwa nyama" asa ndio nini, yaani huu upupu ukiachwa uendelee itafika kipindi utasikia "ingiza ub...o vua chupi kum.. mnato" yaani ni nonesense kabisa mziki wa sasa, hatukatai kila zama zina mziki wake ila tusifike kipindi tukaanza kuu sodomize mziki wetu.
 
Mkuu soko la biashara yoyote ni kucheza na saikolojia ya walaji. Walaji wa muziki wa sasa wanataka kusikia kuhusu ngono dunia nzima. That is what the youth and old ones craves. Usione wakubwa wakiwa majukwaani wanakataza unaweza kuwashitukiza mle mjengoni kukagua simu na computer zao ukashangaa kukuta video za ngono karibu kwa 85% ya watu wote mjengoni. Sisi watu wa IT tunaona mengi kwenye computer za watu maofisini au zao binafsi, wakifuta unakuta kwenye history zipo.

Hii kitu haizuiliki sababu imeshakuwa ni tabia ya jamii zetu zote.

Habit loop:
Cue = (sex explicit/porn content) ----> routine = (watch or listern/talk about sex) -----> reward = (feels happy / get aphrodisiac satisfaction /get to know new sex styles). Hii habit loop inatengeneza addiction ya kutaka tena na tena vitu hivyo inafikia hatua ya kuwa addictions kama madawa ya kulevya, pombe au penyeto.

Ndio maana video zenye warembo nusu uchi na maumbo ya kuhamasisha zinavutia viewers wengi kwenye mitandao ya kijamii na kuingiza pesa nyingi. Zinasababisha watu wanunue vifurushi vya internet kuangalia na kusikia mambo a kuvutia hisia.

Hapo hakuna wazee wala watoto wa siku hizi wote wana crave porno na mambo ya kula jicho na kusafisha mitaro. Hiyo ndio marketing strategy ambayo kuna wasomi huko Havard, Stanford na kwingineko wamefanya tafiti ya kuvutia walaji/wateja wa bidhaa zao miaka na miaka kwa mamilioni ya dola.

Just create addiction, by making it a habit and let it stick forever into their basal ganglia in the brain. They will do it effortlessly without thinking, They will crave for it. If they don't get it they will become agitated, angry and frustrated. Ndio maana watoto wa shule kule Mbeya waliamua kuchoma moto shule sababu ya kuzuiwa kutumia simu shuleni. Ni addiction ile!

Yale ni madhara ya vita vya kusaka masoko kwa gharama ya saikolojia ya watumiaji. Ile haikuwa akili yao ya kawaida, wale ni wahanga tu wa majaribio ya kisayansi sawa na nyani au panya wa maabara za neuroscience na sakolojia huko kwenye lab za Havard.


Ndio maana wewe haukauki humu mitandaoni au haukai mbali na simu yako au computer yako, watu wamekulazimisha hiyo tabia bila kujua imekuwa ni uraibu(addiction) kwako. Jiulize unaweza kuacha kutumia hivi vifaa mwezi mzima kama hauumwi?

Finally they will go practicing what they hear or see. Ndio maana siku hizi matukio ya watu kula ndogo yanaongezeka sana, tena yamekuwa ufahari, hutuwezi kuzuia hii kitu na wala hakuna nchi inaweza kuzuia as long as hii inazalisha mabilioni kama si matrilioni ya dola kwa kwa siku. Umeona walivyo mshukia Makonda alipo jaribu kuzia haya makitu ya kulana jicho a.k.a ndogo, a.k.a mtandao pendwa?

Waache vijana watengeneze pesa kwenye muziki unaopendwa, no one wants to create a dud product!
 
Nyakati hazifanani YES lakini hao wanaosikika sababu kubwa ni monopoly ya soko waliyofanikiwa kuipata. Mtu ndio ameteka SOCIAL NETWORK, ana MEDIA HOUSE na Ndiye PROMOTER MUANDAAJI wa MATAMASHA anashindwaje KUPUSH UJINGA wake kwenye VICHWA VYA WATU?

Ila ngoma kali zipo nyingi tu ila hazipewi nafasi.

Listen
Ngoma kali unazosema ww ni kali kweli,ila wanaoskiliza ndio hawatak kuskia tena hayo...kwa mfano mim mwenyew sitak kuskia mtu anaimba mapenz ya kwel kwa sasa...naona haimbi reality kwanza,,,watu saiz mkuu wanataka kuruka tu basi

Msanii ukishajua watu nn wanataka basi unatoboa...eti uimbe kuhusu malaria saiz unafkr utapenya?

Kaskize ngoma ya baddest ile nikagongee,jamaa alikua hajulikan ila alipita na content zinazotakiwa sokon,jamaa akatusua fiesta mpaka show ya rayvan mbeya.

Hapa demand na supply ipo kazin..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo hizo ulizoweka hapo za zamani ni za siasa au uchumi sio!?
 
Tunaosikiliza aslimia 90 tunapenda hizo nyimbo ukitaka kuthibitisha nyimbo ikiimbwa ikiwa na maana youtube kugikisha viwers laki 1 tu kwa kusua sua lakini "Gere,Tekenya,Uno,na nusu,sugua nk fasta tu 1M inafikisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom