macho_mdiliko
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 21,770
- 39,545
Tanzania ina watu wengi sana ambao wakieleza masaibu waliyopambana nayo maishani huwezi kuamini, hasa wanawake. Kwa kifupi nchi yetu inatekeleza kwa vitendo ule msemo wa dunia ni uwanja wa fujo. Lakini vilevile tahadhari. Kuna matapeli wengi sana wanaitumia JF kwa mawindo yao. Na hakuna nchi yenye watu rahisi kupiga kwa utapeli kama Tanzania. Kwa mfano hapa asilimia kubwa ya wachangiaji wameshaamini kuwa mwanzisha thread ni binti mdogo, na wanaume wengine naona wameshaona kuna fursa. Siyo kama nakatisha watu tamaa wasimsikilize lakini wawe makini sana kwani siku hizi kuna mpaka watu wasiojulikana wanatumia ghilba kama hizi kuwanasa members wanaoona ni wakorofi.Kutokana na trend ya hizi thread za watu kukata tamaa, people feelings of powerlessness with their circumstances and other petty reasons to loss of coping controls with life; ni wakati wa ustawi wa jamii kuanzisha kitengo cha counselling for individuals and group counselling.
Au wajasariamali waanzishe NGO zenye kutoa group counselling na viji pamphlete venye kutoa maelezo jinsi ya ku cope with different life adversities hiki kitu kinaonekana ni kikubwa as a social problem isipokuwa watu awajui pakupatia msaada.
Binafsi naamini kutatua tatizo la afya ni kubadili mawaziri wote na katibu mkuu they just don’t have strategic skills to tackle health issues.