St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,585
- 4,411
Msaada tafadhali wakuu,maana toka kuche siku ya leo najiuliza na sijapata jibu,hivi inakuwaje inaonekana ni jambo la kawaida pale baba anapokuwa na umri mkubwa kushinda mama inaonekana kawaida lakini ukigeuza shilingi inakuwa ni kama kosa.Nimejaribu kuchunguza na kuona kuwa ikitokea kaserengeti boy kakimfuata mtu aliyekazidi umri basi mara nyingi huwa kanatolewa mbio na kasipoangalia hata makofi hupata lakini kwa vibinti wawezakuta kina miaka 20 lakini kinatoka na mtu wa miaka zaidi ya 50 na inaonekana kawaida,hii iko vipi hasa kihisia kwa wanamama?