sijui ni roho mbaya au ndo mtikisiko wa uchumi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sijui ni roho mbaya au ndo mtikisiko wa uchumi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sumji, Jun 12, 2009.

 1. S

  Sumji R I P

  #1
  Jun 12, 2009
  Joined: Jun 11, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  siku ya Jumatatu nilimpleleka mwanangu kriniki kwaajili ya kuchoma sindano za kinga katika hospitali moja inayomilikiwa na chuo kikuu hapa nchini. Ilipofika zamu yangu niliingia ktk chumba cha kuchoma sindano, ambapo sindano ile huchomwa ktk paja. Nesi aliyekuwepo alimchoma mtoto sindano kama kawaida, lakini kilichonishangaza ni kwamba baada ya kumchoma mtoto ile sindano alichukua gauni ya mtoto na kumfuta nayo ktk sehemu aliyochomwa sindano. Nilipouliza hakuna cotton swab, alinijibu kwa jeuri kwamba hakuna.

  sasa najiuliza hivi huu mtikisiko wa uchumi ndo umetufikisha hapo? au ni roho mbaya tu ya nesi?

  Jamani hayo ni malalamiko yangu. Kutoa donge moyoni nayo ni dawa
   
 2. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Pole Sumji,
  Huyo ni mtu aliyejikatia tamaa ya maisha.Msamehe bure tu.
   
 3. D

  Dina JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2009
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 2,824
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Kweli msamehe, manake huyu nesi amepitiliza! Lakini huwezi kujua, labda kweli hazipo. Ila kama hospitali imeishiwa pamba na spirit, sasa in nini kilichobaki?
   
 4. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,061
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Pole sana, mtikisiko wa uchumi hiyo hospital iwe na sindano ikose pamba?!lol
  Atakuwa alikuwa na frustrations zake anamalizia watu wengine, bahati alikutana na mtu mstaarabu..
   
 5. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  This is actually a health hazard. One more reason why we need some aspects of a lawsuit society.Viwanja vingine hapo mtu anajipaka upupu na kusema hospitali imemuwekea germs za kwenye gauni kwa uzembe na sasa mtoto ana ugonjwa unaomkosesha raha na kumsababisha asiweze kwenda kazini.

  Hospitali inakuwa sued for millions of dollars, liberal judge anatoa award.

  Kesho keshokutwa hakuna mjinga mjinga atakayefanya upuuzi kama huu tena.
   
Loading...