thehunk
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 527
- 221
ni msichana niliyekuwa naye kwenye uhusiano kwa muda mrefu bila tabu yoyote na yani tulikuwa kwenye furaha jana tu tukala na kucheka pamoja sasa eti leo kaamka tu asubuh anasema anitaki...nikimuuliza sababu ni nini ananiambia kaamua tu jamani kuna nini hapa