sijui ni nin kimetokea

thehunk

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
527
221
ni msichana niliyekuwa naye kwenye uhusiano kwa muda mrefu bila tabu yoyote na yani tulikuwa kwenye furaha jana tu tukala na kucheka pamoja sasa eti leo kaamka tu asubuh anasema anitaki...nikimuuliza sababu ni nini ananiambia kaamua tu jamani kuna nini hapa
 
ama kwahakika hili balaa,leo tangu asbui nasoma stori za mapenzi,kuanzia wanandoa wanavyotifuana,na wachumba wanavyotifuana,
hata saa haijapita Tembosa katoka hapa,
mdau pole sana,
kila jambo linalotokea lina sababu,Let it Go babuuu,ww kijana pambana,utapata mwingine,
 
Last edited by a moderator:
Tembosa embu njoo tumsaidie mdau huku............ may be kuna kitu kagundua anakosa kwako na kwa wengine anapata kama yupo tayar kuzunngumza mpe nafasi afanye hivyo..... na usilazimishe kitu sawa..... pole mkuu
 
Wasichana wa sasa sijui wakoje. huyu atakuwa alikuwa na wawili sasa kachagua anayemtaka. kwa kuwa yeye ndio kaamua muache achape lapa haikuwa ridhiki yako. usilazimishe mapenzi kuna magojwa
 
Wasichana wa sasa sijui wakoje. huyu atakuwa alikuwa na wawili sasa kachagua anayemtaka. kwa kuwa yeye ndio kaamua muache achape lapa haikuwa ridhiki yako. usilazimishe mapenzi kuna magojwa

mbona umetu generalise wasichana wote......
 
Hebu muonyeshe hela, akijichekesha akarudi mkimbize achana naye huyo hakufai.... utakuwa umejua kinachomkimbiza!
 
ama kwahakika hili balaa,leo tangu asbui nasoma stori za mapenzi,kuanzia wanandoa wanavyotifuana,na wachumba wanavyotifuana,
hata saa haijapita Tembosa katoka hapa,
mdau pole sana,
kila jambo linalotokea lina sababu,Let it Go babuuu,ww kijana pambana,utapata mwingine,

tembosa ndio nani
 
Kaeni chini mzungumze....Mwambie awe wazi ili ujue ulichomkwaza... Pengine ana sababu za msingi.
 
jitunze tu shoger na akijitokeza mchumba aanzie kwa wazazi asije kwako

:tape::tape::tape::tape::tape:

mumeo mambo yako poa.......sa JF had sa hii unatafuta nini ....huu ndio mda wa kulipiza zile siku

mlizokuwa mmenuniana
 
jitunze tu shoger na akijitokeza mchumba aanzie kwa wazazi asije kwako

mweeeee.....chezeiya wasanii wewe.....anakuja kwa wazazi.......barua analeta.........atakapochomokea sasa.......hata unyayo hutauona.......bora tuendelee kisanii sanii hivi hivi kila mmoja..........
 
:tape::tape::tape::tape::tape:

mumeo mambo yako poa.......sa JF had sa hii unatafuta nini ....huu ndio mda wa kulipiza zile siku

mlizokuwa mmenuniana

tushayamaliza anaangalia series huku anakunywa wine na mie nachat huku napata redbull sikilizia mziki wake baadae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom