Sijui ni kwanini nimeachwa kuteuliwa mkuu wa wilaya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijui ni kwanini nimeachwa kuteuliwa mkuu wa wilaya

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mtabe, May 10, 2012.

 1. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana JF mpaka sasa sijui ni kwanini nimeachwa katika uteuzi wa wakuu wa wilaya walioteuliwa hivi karibuni SIFA ZOTE NNAZO!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Naomba kuwasilisha
   
 2. m

  maramojatu Senior Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Magamba uongozi anapewa yule mtu ambaye ni mbumbumbu na submissive. Wenye akili kaeni nyuma. ukijifanya unajua imekula kwako. na ninavyokufahamu hutakaa upate uongozi wowote labda chama kingine kiingie madarakani.
   
 3. a

  annalolo JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 310
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kibonde kaachwa sasa cijui ataendelea na vuvuzela lake la kuwafagilia magamba au. Aliwashla ambulia madokta bla kuchelewa akapewa vidonge vyake akafyata. Sasa alidhani u dc ataukwaa lol mbona analo
   
 4. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  MPM Nicas Mtei,uteuzi unaendelea mbona,atakupatia wilaya wala usikonde.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  unazeeka vibaya Bishanga.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  We hata ujipendekeze vipi u DC hupewi ng'o,huna sifa,kwanza nasikia we Kongosho umekaa kibuzwagi sana wewe.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  He he he, acha niwe kibuzwagi lol
  sikuja na jembe mjini.

  Wewe una migomba posta?

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2012
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Hata mimi nashangaa nimeachwa hivi hivi aisee!
   
Loading...