Sijui ni b unge lipi linalofanya kazi hapa........ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijui ni b unge lipi linalofanya kazi hapa........

Discussion in 'Jamii Photos' started by NewDawnTz, Jun 23, 2011.

 1. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
 2. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Huyo mama wa India noma....kiatu chenyewe kimechoka sijui ndo kwa sababu ya kutwangia wenzake au ndo mchapiko wa majukumu

  Hiyo midingi ya Mekiko i balaa, mtu kapiga roba utafikiri aliwahi kuwa mkabaji kabla ya kuwa mbunge
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Watu wako serious na kazi zao bungeni,longo longo unachezea kichapo.
   
 4. M

  MKWELIMAN Senior Member

  #4
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 125
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  wabunge wengine wa kiBongo wamezidi maana wameshiba na haki zetu ndiyo wanausingizi mzito............. sijui tutafika wapi na hao maana hawashibi tu !!!!!!!!! mwenyezi MUNGU atulinde kwa mafisadi hawa !!!
   
 5. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ni kweli mkuu...huku kwetu kila kitu kanuni....mtu tu kutamka "Unjuka" imekuwa ishu japokuwa ukweli manjuka wamejaaa kibao bungeni..

  Tukipata wawili kama hawa, hakika maombi ya kipuuzi ya miongozo ya spika yatapungua maana ukiomba tu mwongozo una jikonzi la kichwa kama sio chuma cha ugoko
   
 6. shanature

  shanature JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 718
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  nini cha kushangaza wananchi ndio wanataka hivyo....cwamechaguliwa na raia hao majimboni,,,,
   
 7. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #7
  Jun 24, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  mi naona Turkey mambo yalikua mabaya zaidi maana mtu kapandishwa mpaka mezani lol.
   
 8. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #8
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,060
  Likes Received: 6,509
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda ya India. Tuwekee na Kenya (wakati tunasubiria bongo) kuna wakati nao walizichapa
   
 9. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #9
  Jun 24, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,482
  Likes Received: 12,744
  Trophy Points: 280
  india safi ila huyu wa huyu wa chini kabisa na mwenzie
  wanaefwatana mmhhh ndo mana wamenona sana
   
 10. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #10
  Jun 24, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wajomba sijui walikuwa wanataka kumgawana nyama....maana naona wamemkida mbaya mpaka juu ya meza
   
 11. k

  kamimbi Senior Member

  #11
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kulala ni sehem ya mapumziko,
  wenzetu tayari wamefanya kazi na hpo wanapumzika.
   
 12. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #12
  Jun 25, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Tanzania tambarare jamaniii
   
 13. L

  Leonard Mwanja Member

  #13
  Jun 25, 2011
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mwili mkubwa wahitaji mapumziko.Mbinga magharibi walipata kijana shupavu wakampuuzia inakula kwao sasa
   
 14. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #14
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Ndo maana wengi tunaviriba tumbo,coz mda mwingi tunatumia kwa kulala hata maeneo nyeti kwa maendeleo ya nchi km bungeni
   
 15. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #15
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Usiku mkesha maeneo ya starehe,mchana kulala,posho wanazong'ang'ania si bora hata waziite 'sleep allawance
   
 16. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,482
  Likes Received: 12,744
  Trophy Points: 280
  na wabunge wetu inabidi wafwate nyayo za wenzeru mpaka kieleweke
  wao kazi ni nyamachoma na kuomba miongozo na ndiooooooooooooooooooooooo
   
 17. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  wabunge wa bongo hatutaki shari na mtu
   
 18. Ducolax

  Ducolax Member

  #18
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimeipenda hiyo ya Mexico..
   
Loading...