hawa wana hatari jamani duh miguu inanitetemeka
Hizi bata nyingine balaa tupu.
Hivi hapa uambiwe upige bao utaweza kweli? Bila kujali jinsia
mmmmh hapo uwe na boya pembeni
ukisikia starehe garama ndio hii sasa.hapo ni bata kwenda mbele