Sijui nao wamejengewa maabara za rais?

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,754
1417846099072.jpg
 
Ngoja niichukue kabisa kama kumbu kumbu kwa wanangu.sijawahi ona chama katili duniani kama ccm. Ni bora anae kuua kuliko anae kutesa
 
Maadui ujinga na umasikini ndiye nguzo kuu zinazoiweka CCM madarakani.
 
hatuna hela kwa sasa,bajeti imeelekezwa kwenye matibabu ya tezi dume
 
afu unategemea mtu atoke hapo aende kutengeneza nuclear reactor!!! not possible...

Nuclear reactor mbona mbali sana huko Dreson4! Mwambie atengeneze japo sabuni ya majani ya mpapai uone
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom