Sijui namkwepa vipi binti huyu! Mimi nilikuwa natoa ugumu tu, yeye amekufa ameoza kwangu

Bora utafte demu mwingine kagundua kuwa ww sio mwaminifu ili kakupozee kenyewe, ukikaambia hukapendi kataumia sana.
 
Maranyingi huwa tunajitafutia laana za kuwaumiza watu wengi kwa mapenzi.
Fikiria pindi utakapoacha atakuwa kwenye hali Gani.
 
Umenikumbusha demu wangu niloanza kumgonga tangu akiwa form two mwaka
Nilikagonga kakaniganda kinyama!!!!
Kalipomaliza form four tokeo likatoka kamepata Four ya 30. Nikasema hapa hapa nimepata sababu.

Nikakapiga chini nikaambia kama kanataka kuwa na mie, basi karudie Pepa kafaulu angalau Division Three.
Kamerudia kakafeli tena. Nikasema "Woyoooo"
Ubinadamu gani huo c ungesepa kimya kimya tu,,,,"woyooo". Mtoto was mwenzio kufeli duh
 
Umenikumbusha demu wangu niloanza kumgonga tangu akiwa form two mwaka
Nilikagonga kakaniganda kinyama!!!!
Kalipomaliza form four tokeo likatoka kamepata Four ya 30. Nikasema hapa hapa nimepata sababu.

Nikakapiga chini nikaambia kama kanataka kuwa na mie, basi karudie Pepa kafaulu angalau Division Three.
Kamerudia kakafeli tena. Nikasema "Woyoooo"
Kwakweli padri hapo inabidi utubu tu
 
Broo Napoleone unamsifia hapa kuwa ni katoto ka mbulu kazuri, sasa kwa nini usiendelee nako kaka? wakati wa kumtanua miguu hukuona ubaya wake sasa hivi ndio unakaona kabaya?
 
Broo Napoleone unamsifia hapa kuwa ni katoto ka mbulu kazuri, sasa kwa nini usiendelee nako kaka? wakati wa kumtanua miguu hukuona ubaya wake sasa hivi ndio unakaona kabaya?
Uzur sio ndoa mdogo wangu,ndoa ni mazoea,haka nna miez miwi tuu nako,halaf pia yupo njia kuu huu mwaka wa 5,sasa huyu njia kuu namwacha acha vp ndugu yangu,haka bado kanakula ujana,katasumbua tuu badae,navijua sana hib vitoto,bora nibak na huyu njia kuu tumetoka mbal halaf kitu tulichojenga/penz kwa miaka m5 si mchezo ujue dogo,so haka najua ntaendelea nako lakin tutaachana tu
 
Mkuu kama hujaoa bado na huyo mtoto anajielewa (life determination) na unampenda ni jambo Jema kama atakua wa ndani mwako.
 
Wakuu,

Kuna binti fulani huku niliko kikazi ni mwezi wa pili huu unaenda kama sio wa tatu, nilizoeana nako, nimekua nikila tunda mara kwa mara. Sasa kamekufa kameoza, yaani ana wivu, muda wote kanataka tuchat, simu kanapiga sana, kanakuja kwangu hapa kupika kufua n.k,..

Anatuma nyimbo za mapenzi tuu whatsapp muda wote mi nipo nako kupunguza ugumu kwa hii miezi ya kazi huku ila naona ana act kama mke kabsa.

Sijui namkwepaje asee, halafu yuko innocent kukabwaga nakaonea huruma
Mapenzi ya kutumiana nyimbo za mapenzi yalikua mapenzi ya shule huko Ashira Girls,Weruweru,Machame na kwingine kulikokua na shule za kike tuu.Kwa ushauri wng achana na vitoto vya shule jikite kwa wamama ama wabibi utaridhika zaidi.

Ahsante
 
Umenikumbusha demu wangu niloanza kumgonga tangu akiwa form two mwaka
Nilikagonga kakaniganda kinyama!!!!
Kalipomaliza form four tokeo likatoka kamepata Four ya 30. Nikasema hapa hapa nimepata sababu.

Nikakapiga chini nikaambia kama kanataka kuwa na mie, basi karudie Pepa kafaulu angalau Division Three.
Kamerudia kakafeli tena. Nikasema "Woyoooo"
We jamaa ni shidaaaaaa hahahahaaaaaa
 
Umenikumbusha demu wangu niloanza kumgonga tangu akiwa form two mwaka
Nilikagonga kakaniganda kinyama!!!!
Kalipomaliza form four tokeo likatoka kamepata Four ya 30. Nikasema hapa hapa nimepata sababu.

Nikakapiga chini nikaambia kama kanataka kuwa na mie, basi karudie Pepa kafaulu angalau Division Three.
Kamerudia kakafeli tena. Nikasema "Woyoooo"
Ungekapeleka kakasome tuition ya kisandu
 
Mapenzi ya kutumiana nyimbo za mapenzi yalikua mapenzi ya shule huko Ashira Gilrs,Weruweru,Machame na kwingine kulikokua na shule za kike tuu.Kwa ushauri wng achana na vitoto vya shule jikite kwa wamama ama wabibi utaridhika zaidi.

Ahsante
Hakuna feelin tam unaipata kama ukijua unapiga dem ambae hajatumika sana,..k mnato kama bikra vile,..siku ukijajua ule utam ndo utaelewa kwann tunavipenda hiv vitoto
 
Daah me kuna Manzi amenigandaa balaaa..Kajaa mpaka dar akati kiukweli me nlimtamani tuu.. Sura hanaa ilaa shape sasaaa khaaa... But ni ngumu kumwambia Ukweli japo nafsi inanisuta maana hata yeye anajua simpendi ilaa ndo hivyo tena...
Umekuja kunitangaza huku sio????
 
Kuna mkaka alimringia demu ile mbaya demu anapigwa bado anarudi anaendelea kumganda mpaka wakazaa sasa katokea riziki yake huyo dada akampata njemba anampa kila kitu kazi nakila kitu.
Yaani kadada kazuri kamependeza amemuacha umiza kichwa yupo na suza roho.
Mdada ameposwa anamimba ,biashara, kazi,gari utamtaka mtoto wake anasomeshwa shule nzuri hadi raha.
Jana kanatuambia shikeni zawadi hizi na kadi naolewa hii wiki sendoff yangu.
Yule kaka anajuta kumfanyia hivyo maana nayeye alibwagwa na mtu aliyedhania ni wakumuoa.
Angalia sana kumtenda mtu
Karma be a baad biiiitch....
 
Nyinyi ndio mnaotuchafulia sisi ambao ni vigumu kumpata mwanamke ata wa kupiga nae story za kawaida, MNAPENDWA ILA HAMUPENDEKI, alaf mukiachwa muanze kutujazia maandishi ya kulalamika, anaekupenda ndio wa kuowa na kawaida anaekupenda huwaga ni mmoja tu katika mapenzi
 
Umenikumbusha demu wangu niloanza kumgonga tangu akiwa form two mwaka
Nilikagonga kakaniganda kinyama!!!!
Kalipomaliza form four tokeo likatoka kamepata Four ya 30. Nikasema hapa hapa nimepata sababu.

Nikakapiga chini nikaambia kama kanataka kuwa na mie, basi karudie Pepa kafaulu angalau Division Three.
Kamerudia kakafeli tena. Nikasema "Woyoooo"
Umefanya jambo la kishetani halafu unajisifia na kujiona mjanja. .hujui ww ndie ulie changia kuanguka kwake kimasomo. .watu km nyie jela ndio sehemu panapo wafaa
 
Back
Top Bottom