Sijui,lakini nadhani wanawake wanaweza kutupa majibu juu ya hili ......!!!!!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,709
Ni muda sasa nimekua nikijiuliza kuhusiana na hili jambo na kuna wakati nimejikuta naishia kushangaa tu,katika kujiuliza huko niliwahi kuanzisha uzi hapa nikijaribu kupata mawazo ya wnawake kuhusiana na hili

Niliwahi kuanzisha uzi hapa ukihusiana na mwanamke kuwa na mume/boyfriend ambae sio mcharuko[kicheche] lakini pia kipato chake sio kikubwa kiviile lakini kikubwa zaidi ni kuwa mwanaume huyo hajali na wala hamuulizi wala kumchunga mkewe hata akichelewa na sio mbishi pale mwanamke anapokuwa anamwambia kuhusiana na mambo kama vile kuchelewa kurudi,kusafiri kikazi n.k

Nilipata maoni ya wanawake wengi wakisema kuwa watampenda sana mwanaume wa aina hiyo na kumheshimu sana bila kujali hali yake kifedha kwakuwa kile kitendo cha kutokuwa kicheche tu kinatosha kumfanya mwanaume huyo kuwa bora,kifupi waliongea mendi sana

Sasa nimejikuta nashangaa sana baada ya kukagua baadhi ya ndoa zenye wanaume wenye sifa hizo au zinazokaribia kufanana na hizo

Nilishangaa kwasababu karibu ndoa zote 7 nilizozifanyia uchunguzi wa harakaharaka,wanawake hao wanatoka nje ya ndoa,sijajua hasa ni kwanini ila nadhani huenda kuna kitu kimejificha kwenye hilo

Ndio hizo mara nyingi wanaume sio wakali kwa wake zao pindi wachelewapo kurudi kazini,waume hao sio vicheche,yaani kwa kifupi wanaume hao karibu chochote watakachoambiwa na wake zao wao hawana tatizo labda kwenye mambo machache sana

Nilivyokuwa najua mimi ni kuwa wanawake huwapenda sana wananume wanaowasikiliza na kuwaunga mkono hasa kwenye mambo "yao" lakini naona kama nilikuwa najidanganya

Najua idadi hiyo ya ndoa ni chache sana lakini nadhani zinatosha kumshtua yoyote na kupelekea kujiuliza,iweje zote zifanane?Kwanini hakuna tofauti hata moja?

Wanawake wanataka mtu wa aina gani?
Kuna wakati jamaa yangu mmoja aliwahi kiniambia kuwa kama unataka mwanamke akuheshimu mgegede vizuri lakini kuna waliofanya hivyo na wakaambulia vibuti

Kuna wengine wanaamini katika hela lakini tunaona kila siku akina shamba boy wakizisambaratisha ndoa za mabosi wao

Kuna wengine wanadhani kuwa handsome ndio komesha lakini ukweli kila mtu anaujua

Wanataka nini hawa watu?
Hebu kujeni hapa mtueleze!
 
ukiwa bize na mkeo akiwa bize ndoa inadumu ila mmoja wenu asipokuwa bize hakuna ndoa hapo..
 
Wa siku hizi wengi wajali sana pochi hata kama atagegedwa nje ukiwa na pochi lazima heshima iwepo
 
Hapa swala ni kwamba watu wametofautiana sana

Sina uwanda mpana kuhusu hili coz sipo ndoani ila binafsi nafikiri mwanamke anautumia mwanya huo kufanya yake lakini pia ni tabia ya mtu

Wengi husema mwanamme mpole huwa ni m'baya sana anapokasrika,sasa hapa sina uhakika saana coz sijafanya utafiti.
 
ukiwa bize na mkeo akiwa bize ndoa inadumu ila mmoja wenu asipokuwa bize hakuna ndoa hapo..

Mkuu nahitaji majibu kutoka kwa hawa watu ili angalau tupate mwanya wa tatizo lilipo

Itatusaidia kupata nafuu pia!!!!!!
 
Hapa swala ni kwamba watu wametofautiana sana

Sina uwanda mpana kuhusu hili coz sipo ndoani ila binafsi nafikiri mwanamke anautumia mwanya huo kufanya yake lakini pia ni tabia ya mtu

Wengi husema mwanamme mpole huwa ni m'baya sana anapokasrika,sasa hapa sina uhakika saana coz sijafanya utafiti.

Mh!
Tabia ya mtu kwa wote hao 7?
 
Aisee!!hili swala hata mi hujiuliza sana japo sipo ndoani lakini swali kubwa kichwani mwangu ni hawa wenzetu wanataka nini hasa???
 
Kwn vp mzee wew ni mpole alafu kipato kidogo??, kama ndio hivyo jiandae kupokea wageni..
 
Tunataka yote hayo Handsome, mpole, msomi, mwenye mkwanja wa kueleweka, mwenye mapenzi ya kweli, aliyefit kwa 6*6, muaminifu, a leader, provider, and a protector!
Umeona sifa zoote hizi ni ngumu sana kuzipata kwa mtu mmoja!
So inaweza fanya mwanamke kuchepuka kutafuta kile alichoki miss!
 
Ni muda sasa nimekua nikijiuliza kuhusiana na hili jambo na kuna wakati nimejikuta naishia kushangaa tu,katika kujiuliza huko niliwahi kuanzisha uzi hapa nikijaribu kupata mawazo ya wnawake kuhusiana na hili

Niliwahi kuanzisha uzi hapa ukihusiana na mwanamke kuwa na mume/boyfriend ambae sio mcharuko[kicheche] lakini pia kipato chake sio kikubwa kiviile lakini kikubwa zaidi ni kuwa mwanaume huyo hajali na wala hamuulizi wala kumchunga mkewe hata akichelewa na sio mbishi pale mwanamke anapokuwa anamwambia kuhusiana na mambo kama vile kuchelewa kurudi,kusafiri kikazi n.k

Nilipata maoni ya wanawake wengi wakisema kuwa watampenda sana mwanaume wa aina hiyo na kumheshimu sana bila kujali hali yake kifedha kwakuwa kile kitendo cha kutokuwa kicheche tu kinatosha kumfanya mwanaume huyo kuwa bora,kifupi waliongea mendi sana

Sasa nimejikuta nashangaa sana baada ya kukagua baadhi ya ndoa zenye wanaume wenye sifa hizo au zinazokaribia kufanana na hizo

Nilishangaa kwasababu karibu ndoa zote 7 nilizozifanyia uchunguzi wa harakaharaka,wanawake hao wanatoka nje ya ndoa,sijajua hasa ni kwanini ila nadhani huenda kuna kitu kimejificha kwenye hilo

Ndio hizo mara nyingi wanaume sio wakali kwa wake zao pindi wachelewapo kurudi kazini,waume hao sio vicheche,yaani kwa kifupi wanaume hao karibu chochote watakachoambiwa na wake zao wao hawana tatizo labda kwenye mambo machache sana

Nilivyokuwa najua mimi ni kuwa wanawake huwapenda sana wananume wanaowasikiliza na kuwaunga mkono hasa kwenye mambo "yao" lakini naona kama nilikuwa najidanganya

Najua idadi hiyo ya ndoa ni chache sana lakini nadhani zinatosha kumshtua yoyote na kupelekea kujiuliza,iweje zote zifanane?Kwanini hakuna tofauti hata moja?

Wanawake wanataka mtu wa aina gani?
Kuna wakati jamaa yangu mmoja aliwahi kiniambia kuwa kama unataka mwanamke akuheshimu mgegede vizuri lakini kuna waliofanya hivyo na wakaambulia vibuti

Kuna wengine wanaamini katika hela lakini tunaona kila siku akina shamba boy wakizisambaratisha ndoa za mabosi wao

Kuna wengine wanadhani kuwa handsome ndio komesha lakini ukweli kila mtu anaujua

Wanataka nini hawa watu?
Hebu kujeni hapa mtueleze!
Binadamu ni very complex creature na co wanawake pekee hivyo ili kumwelewa lazima umsome contextually, matatizo ya ndoa yanatofautiana kutoka moja mpaka nyingine km binadamu wote tunavyotofautiana. Nina mashaka sana na hiyo sample yako,co kwa uwingi wake ila kwa pattern ya hitimisho iliyoleta.
 
Be a man in every way u can and let her be the woman,..uhusiano yataka daily improvement cz pipo change,
 
Tunataka yote hayo Handsome, mpole, msomi, mwenye mkwanja wa kueleweka, mwenye mapenzi ya kweli, aliyefit kwa 6*6, muaminifu, a leader, provider, and a protector!
Umeona sifa zoote hizi ni ngumu sana kuzipata kwa mtu mmoja!
So inaweza fanya mwanamke kuchepuka kutafuta kile alichoki miss!

Mkuu hizo sifa umezipanga kufuatana na umuhimu?

Ni sifa ipi ambayo mwanamme akiikosa hamwezi kuvumilia na lazima mukaitafute nje?
 
Unadhani hivyo tu inatosha?

Mwenye hila yake haachi hata umpe nini.
Kutoka nje ni hulka ya mtu kwa both Me na Ke,kama mwenza wako ana hiyo hulka atatoka tu bila kujali unamgegeda na nusu,wewe ni handsome,unampa pesa ya kutosha au unampa uhuru wa kutosha
 
Mkuu hizo sifa umezipanga kufuatana na umuhimu?

Ni sifa ipi ambayo mwanamme akiikosa hamwezi kuvumilia na lazima mukaitafute nje?

Zote zina umuhimu sawa Mkuu! Kila mwanamke ana priorities zake, mwingine anaweza kukosa hizo na still akawa muaminifu, mwingine akikosa fedha, akachepuka kutafuta fedha ingawaje anampenda partner wake.
mwengine asiporidhika kitandani hajali wala haimsumbui, wakati mwingine aweza hata kubaka akikosa haki hiyo.
Mwengine akikosa a leader, ni tatizo pia. saa nyingine hela si tatizo ila a leader is needed in the house, unakuta mume hana maamuzi, hana dira ya kuongoza familia yupo yupo ka Tommy wa cartoon anayesumbuliwa na Jerry!
Umeonaee?
 
Tunataka yote hayo Handsome, mpole, msomi, mwenye mkwanja wa kueleweka, mwenye mapenzi ya kweli, aliyefit kwa 6*6, muaminifu, a leader, provider, and a protector!
Umeona sifa zoote hizi ni ngumu sana kuzipata kwa mtu mmoja!
So inaweza fanya mwanamke kuchepuka kutafuta kile alichoki miss!

thread closed....
 
Back
Top Bottom