Sijui kwanini inamuwia vigumu kumtoa January Makamba

Mmeanza tena vijana wa ufipa, Makonda mmemshindwa sasa mnaingia kwa huyu. Mnakumbuka mlipokuja na sakata lenu la mzungu wa makamba?
 
Rais ajaye ni
Kati ya Hawa hapa
1.bashiru Ally
2.prof.kabudi
3.kassimu majaliwa
Majaliwa awe raisi? Kwa lipi analolifanya. Kazi yake kuzurura tu kama mtarii wa ndani. Ziara zake hazina impact, mwoga kufanya maamuzi .
 
Kuchagua mrithi hakuna Raisi wa Tanzania aliyewahi kufanikiwa kufanya, huyu naye hataweza.
Mzee Nyerere "The Most Powerful Politician in African History" hakuweza na huyu pia hataweza.
Akijaribu lazima yatamtokea puani....
Asante sana ,kwa kuongezea

Baba wa Taifa alimtaka Dr Salim akashindwa

Akaja kufanikiwa kwa mkapa

Mwinyi alimtaka kikwete akashindwa akaja kufanikiwa awamu ya mkapa

Mkapa alimtaka sumaye akashindwa akaja kufanikiwa awamu ya kikwete

Kikwete alimtaka Membe akashindwa , na Mkapa akafanikiwa awamu ya kikwete kumweka Magufuli

Na ,Magufuli pia atashindwa , Japo Mkapa anaweza fanikiwa tena kama akiwa hai , sababu ni Most powerful katika nchi kwa sasa
 
Back
Top Bottom