Sijui kuingia kwenye chatroom ya Jamii nisaidieni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijui kuingia kwenye chatroom ya Jamii nisaidieni

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Alshamshudyn, Jul 9, 2008.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Alshamshudyn

  Alshamshudyn New Member

  #1
  Jul 9, 2008
  Joined: May 16, 2008
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wajuzi
  Nimekuwa nikisikia kuna mfumo wa kuchat na marafiki kuitii hii tovuti ya ukweli kabisa jamiiforum.com lakini kila nikiuliza naambiwa mpaka laptop yako iwe na Java thanx god nimeweza kuidownload Java sema kila nikilog in kauwa sioni seheme ambayo inaweza kunidirect kwenye chatroom Je nafanyaje?

  Nayefahamu naomba anisaidie tafadhali.
   
 2. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #2
  Jul 9, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  AU TUMIA www.jambotanzania.net click katika jambo utaweza kuingia ingawa kama uko tanzania kuna baadhi ya ISP wanafunga access ya IRC HATA MAKAZINI WENGINE WANADISABLE IRC
   
 3. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Chat room ipi hiyo?  .
   
 4. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #4
  Jul 9, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Anasemea Jambochat
   
 5. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #5
  Jul 9, 2008
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Karibu mkubwa,

  Kwanza pole kwa kuhangaika.

  Nimeiona hii nikajisikia kweli nimewakosea wengi kwa kutowaarifu yepi ya kufanya endapo wanahitaji kuingia kwenye chat.

  Kwanza:

  JamiiForums haina chat, labda ikiwekwa siku za usoni.

  Pili:

  JamboTanzania.net ni IRC Server (website ambayo Shy kakupa hapo juu) hivyo ukiitembelea wewe normal user utakuwa redirected kwenda JamboNetwork.com. Mimi kama Global Admin wa hiyo server nilitakiwa nikujibu haraka iwezekanavyo kama ungetuma swali via email kwenda kwa info@jambonetwork.com lakini kwakuwa ni huku imechukua muda kujua kuna mtu mwenye uhitaji huo.

  Kama unatumia web chat, basi tulichoweka hapo ni Java Chat, hii ni secured kuliko flash chat kwakuwa inakuhakikishia chat yako kuwa private kiasi hata moderators au channel operators HAWAWEZI kuona nini unaongea katika private na mwenzako. Basi kama wataka kutumia Java chat tumia hii link:

  http://www.jambonetwork.com/jn/chat-room/

  Na hapo nakushauri tumia Internet Explorer kwenda hiyo link ambapo utatakiwa kuweka nickname yako (si lazima jina la kweli) na utajikuta unakuwa connected na wenzako wengi ambao utawakuta online huko. Hapo pia utakuwa na nafasi ya kusikiliza Jambo Radio pamoja na Radio Maria (Online Radios) ukiwa unaendeolea na chatting. Chat ina masharti yake ambayo utatakiwa kuyazingatia.

  Tatu:
  Ukitaka kutumia chat scripts, basi nakushauri tumia mIRC kuingia kwenye chat yetu kwakuwa tunatumia IRC Server. Connection port weka 6667 au 6668. Endapo hizi zitakuwa blocked na system yenu basi tufahamishe tunaweza kutengeneza nyingi kadiri iwezekanavyo.

  IRC chats nyingi huwa blocked na antivirus hasa McAfee. Unaweza ku-configure McAfee iweze kuruhusu connection kuingia kwenye chat. Utapata errors endapo unatumia McAfee kama antivirus na ikawa enabled.

  Nakuhakikishia kuwa server yetu iko salama na huwa inakuwa na updates kadhaa kwa mwezi na huwa tunahakikisha kunakuwa na mtu wa kusadia muda wote.

  Kwa maswali zaidi wasiliana nami via sms au email.

  Mac
   
 6. BadoNipo

  BadoNipo Senior Member

  #6
  Jul 9, 2008
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 175
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  MAC asante sana kwa maelezo yako kwani hata me nilikuwa na shida hiyo hiyo. mwanzo nilikuwa naingia vizuri tu kwenye hiyo chat lakini toka mwezi wa tano ndo nimeanza kushidwa kuingia huko. leo baada ya kusoma maelezo yako nimejaribu tena ku log in lakini nimepata msg hii Unable to connect : java.net.ConnectException : Connection refused: connect s
   
 7. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #7
  Jul 9, 2008
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Ok,

  When you try to connect you get:-
  [22:12] Connecting...
  [22:12] Unable to connect : java.net.ConnectException : Connection refused
  or maybe:
  Unable to connect : java.net.NoRouteToHostException :


  This particular message is telling you that the IRCD is refusing your connection, or else you are unable to connect to it.

  A local, or network firewall is preventing you from using the selected port.

  It could be that the JVM is trying to access the Internet via the SOCKS server settings and not the HTTP.

  To fix the problem try un-ticking the "use browser settings" check box in the Java plugin proxies tab and just add the HTTP IP and PORT of your proxy server that goes out onto the Internet.

  Your internet cache is serving files from an older version of the applet.

  Clear out your temporary internet files, and cookies.

  Try to DISABLE your antivirus for a moment and see any developments.

  Keep me posted
   
 8. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2008
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  MNISAMEHE bandugu........! nia -ALEJI na any number with "TRIPLE SIX"
   
 9. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2008
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Sawa Nnategemea Na Jamii Forums Tutakuwa Na Chat Yetu Siku Za Usoni Maana Nnnaamini Safari Bado Mbichi
   
 10. d

  dasmwaka Member

  #10
  Aug 28, 2008
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakuu wa JF niaje popote mlipo? nimerudi baada ya kalikizo ka muda mrefu bila ya kupatikana katika discussion yetu ya JF.
   
 11. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #11
  Aug 28, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Karibu tena dada mwaka
   
 12. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #12
  Aug 29, 2008
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  jamani,usilolijua ni kama usiku wa kiza,labda wataalam mtanisaidia,nimesikia kwamba mwenye blog ya utamu,anatafutwa,na wala haijulikani yuko nchi gani.sasa kama hackers wanaweza kuingilia classified information za united states govt,inakuwa vipi suala dogo la kum flush out huyu utamu linakuwa taabu?what exactly inayofanya hii shuguli iwe ngumu,yaani hata kui-disable hii blog imekuwa ngumu.frankly speaking,i take technology for granted,but it really leaves me wondering
   
 13. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #13
  Aug 29, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Son of alaska

  wengi wanatafutwa sio yeye tu hata wanaotoa siri za serikali na watu wengine katika mitandao mengine wanatafutwa sema kila mtandao una sheria na kanuni zake yule mwenye blogu amesajili blogu yake kwa makubaliano maalumu

  mfano wamkamate halafu baadaye huyo jamaa aje kuishitaki kampuni aliyosajili blogu yake kwa kutoa siri zake unafikiri patakalika nani anapenda hivyo je si huyo msajili atapoteza wateja wengi zaidi ?

  Hiyo ni siri za kibiashara za mtandao
   
 14. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #14
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,144
  Likes Received: 2,178
  Trophy Points: 280
  Mpaka leo hatuna Chat tusubiri siku zingine tena za usoni
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...