Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 458
Wakuu, naumwa kichwa.
Naumwa kichwa na huu mwezi sipati usingizi kwa sababu hii mada inajizungusha kichwani mwangu bila hata hiari yangu ya kuamua cha kufikiria.
Naumwa kichwa pale ninapoona mfanyakazi mwingine mwenye fani kama yangu na pengine namzidi creativity analipwa 1.2 mil - 2 mil wakati mimi take-home ni laki 3 kwa mwezi.
Nimesoma Graphic design na kampuni nyingi nilizopeleka maombi au kuwahi kuajiriwa hakuna iliyokubali kunipa beyond laki 5 wakati ninawafahamu watanzania (wachache), wakenya na wahindi wanoochukua 1M na kuendelea.
Wao wenyewe wakitizama Portfolio yangu wananywea...hata CV yangu ni very modern, very creative and eye-catching on the first look kwa content na design yake. Nikiwa naiprint stationery muhudumu anasema waoooo!
Hakuna ambacho sijakifanyia research na kukiapply in terms of application letter, CV, certificates delivering, interview sessions nk.
Nimekuwa nikijitahidi kuseam "interview hii nikiulizwa salary expectation niseme laki 8 au 1M", lakini nikifanya research kwa madesigner waliowahi kupita pale hakuna aliyegonga zaidi ya laki 5...wengi ni laki 3-4. So nawaza nikijitajia figure flani kwa masifa naweza nikakosa hata hiyo laki 3 na huku balance ya kutumia kutuma maombi inaelekea kwisha.
Sijui kunegotiate au nilichokisomea ndo hakina dili??