Sijui Kama Rais Magufuli anajua kuwa Kuna Watumishi Wizarani na Taasisi wana vyeo vikubwa sana lakini uwezo wao kiutendaji ni mdogo sana

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,788
4,490
Tanzania ni moja ya nchi ambayo Watumishi was sekta ya umma kwa maana ya utumishi ndani ya Serikali na Taasisi zake mara baada ya kuajiriwa wamekuwa wakipanda vyeo kama formality kila baada ya miaka mitatu.

Kwa kupitia mfumo huo kuna baadhi ya Watumishi wana vyeo vikubwa sana katika wizara mbalimbali na Taasisi za Serikali na kutumia rasilimali za thamani za Serikali Kama vifaa vya ofisini na magari ya gharama za juu sana huku uwezo wao was kufanya kazi ni mdogo sana kitaaluma.

Wamekuwa ni watu wa kifika tu maofisini kusaini na kusoma magazeti kupitia mafaili mezani kusoma ripoti na kuondoka jioni ofisini bila kuwa na inputs zozote za kufanya mabadiliko ya kimaendeleo kwenye sekta zao.

Kwa mtazamo wangu Mimi hawa Watumishi ni mizigo ndani ya Serikali kwasababu hakuna lolote wanalofanya zaidi ya business as usual.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya baadhi ya vijana walioajiriwa ndani ya hizo wizara na Taasisi na hao viongozi wenye majina na vyeo vikubwa kiutendaji kiasi cha kufanya mambo tasiende vizuri kwa kuona vijana wengi wanajituma sana kupitia taaluma kutaka vitu vitokee ktk utendaji wao lakni mikwamo ni mingi Sana.
 
Wapo wengi hasa tamisemi na wakuu WA mikoa na wilaya tena wengi ni makada WA ccm na wengi wamegushi vyeti ila alikataa wasihakikiweckwakua ni wanasiasa na wanaccm
 
Upo sahihi kabisa,tena kwenye halmashauri ,kuna wakurugenzi na wakuu wa idara ni vilaza hatari sana
Sisemi kwa lengo la kisiasa, lakini taasisi inayoongoza kwa viongozi wa kiwango cha chini ni Polisi. Wa pili ni wizara ya elimu, kuna maafisa elimu ngazi ya wilaya hawafai hata kuwa walimu wakuu. Hii yote ni pale serikali ilipoanza kusimika viongozi kwa kutumia vyeti pekee bila kuangalia utendaji. Viongozi huandaliwa na siyo kufuata elimu pekee kwenye vyeti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww unamkosea sana bwanamkubwa kwa kusema hajui kwa taarifa tu raisi anajua kila kitu nchi hii Yaaani hakuna asiolojua hata hapa hujaanza kuandika tyr ameshajua ndio mana nchi yetu kwa sasa ina madaraja na ndege nying kushinda hata marekani
 
Tanzania ni moja ya nchi ambayo Watumishi was sekta ya umma kwa maana ya utumishi ndani ya Serikali na Taasisi zake mara baada ya kuajiriwa wamekuwa wakipanda vyeo kama formality kila baada ya miaka mitatu.

Kwa kupitia mfumo huo kuna baadhi ya Watumishi wana vyeo vikubwa sana katika wizara mbalimbali na Taasisi za Serikali na kutumia rasilimali za thamani za Serikali Kama vifaa vya ofisini na magari ya gharama za juu sana huku uwezo wao was kufanya kazi ni mdogo sana kitaaluma.

Wamekuwa ni watu wa kifika tu maofisini kusaini na kusoma magazeti kupitia mafaili mezani kusoma ripoti na kuondoka jioni ofisini bila kuwa na inputs zozote za kufanya mabadiliko ya kimaendeleo kwenye sekta zao.

Kwa mtazamo wangu Mimi hawa Watumishi ni mizigo ndani ya Serikali kwasababu hakuna lolote wanalofanya zaidi ya business as usual.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya baadhi ya vijana walioajiriwa ndani ya hizo wizara na Taasisi na hao viongozi wenye majina na vyeo vikubwa kiutendaji kiasi cha kufanya mambo tasiende vizuri kwa kuona vijana wengi wanajituma sana kupitia taaluma kutaka vitu vitokee ktk utendaji wao lakni mikwamo ni mingi Sana.
Toa mfano wa hata mmoja wao hata kama kwa cheo chake tu!
 
Ww unamkosea sana bwanamkubwa kwa kusema hajui kwa taarifa tu raisi anajua kila kitu nchi hii Yaaani hakuna asiolojua hata hapa hujaanza kuandika tyr ameshajua ndio mana nchi yetu kwa sasa ina madaraja na ndege nying kushinda hata marekani
Kati ya wasiojua kwamba anajua ni pamoja na wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raisi ana mafaili mengi kitandani kwake kutwa kuyapitia na kusaini.

Haijalishi iwe ni ya kuuza nchi yetu nzuri ama kutuletea manufaa.

Ila hapendi uzembe toka ndani ya sakafu ya moyo wake.

Orodhesha Taasisi na wizara ambazo zina aina ya hao mabashite nasi tutamfikishia.

Usiogope kwani hakuna atakayeWASIOJULIKANA jf ni sehemu salama.

Wengi tungekamatwa japo tuna Id fake

2020 hakika huta waona.
 
Kibongo bongo ukisoma sana unakaa ofisini unapulizwa na kiyoyozi. Mkuu mwenyewe anajua hilo wacha watu wale matunda ya walichokipanda.
 
Ww unamkosea sana bwanamkubwa kwa kusema hajui kwa taarifa tu raisi anajua kila kitu nchi hii Yaaani hakuna asiolojua hata hapa hujaanza kuandika tyr ameshajua ndio mana nchi yetu kwa sasa ina madaraja na ndege nying kushinda hata marekani
Punguza kejeli
 
Tanzania ni moja ya nchi ambayo Watumishi was sekta ya umma kwa maana ya utumishi ndani ya Serikali na Taasisi zake mara baada ya kuajiriwa wamekuwa wakipanda vyeo kama formality kila baada ya miaka mitatu.

Kwa kupitia mfumo huo kuna baadhi ya Watumishi wana vyeo vikubwa sana katika wizara mbalimbali na Taasisi za Serikali na kutumia rasilimali za thamani za Serikali Kama vifaa vya ofisini na magari ya gharama za juu sana huku uwezo wao was kufanya kazi ni mdogo sana kitaaluma.

Wamekuwa ni watu wa kifika tu maofisini kusaini na kusoma magazeti kupitia mafaili mezani kusoma ripoti na kuondoka jioni ofisini bila kuwa na inputs zozote za kufanya mabadiliko ya kimaendeleo kwenye sekta zao.

Kwa mtazamo wangu Mimi hawa Watumishi ni mizigo ndani ya Serikali kwasababu hakuna lolote wanalofanya zaidi ya business as usual.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya baadhi ya vijana walioajiriwa ndani ya hizo wizara na Taasisi na hao viongozi wenye majina na vyeo vikubwa kiutendaji kiasi cha kufanya mambo tasiende vizuri kwa kuona vijana wengi wanajituma sana kupitia taaluma kutaka vitu vitokee ktk utendaji wao lakni mikwamo ni mingi Sana.
Unahitaji kadi ya kijani, na usikosekane kwenye maandamano ya vikokotoo , inatosha
 
Wapo wengi hasa tamisemi na wakuu WA mikoa na wilaya tena wengi ni makada WA ccm na wengi wamegushi vyeti ila alikataa wasihakikiweckwakua ni wanasiasa na wanaccm
Nadhani ktk hili tusiingize siasa ila tujue kuna tatizo la kimfumo katika kutimiza na kutekeleza wajibu kwa Watumishi wa umma.Kuna wataalam ambao wanafanya vizuri lakini Watumishi wenzao wanawapiga Vita Sana hata Rais mwenyewe amekuwa akitoa mfano Kama wa Injinia Mfugale alivyopigwa Vita.Sasa Happ Nini kifanyike kutoka hapo......
 
Raisi ana mafaili mengi kitandani kwake kutwa kuyapitia na kusaini.

Haijalishi iwe ni ya kuuza nchi yetu nzuri ama kutuletea manufaa.

Ila hapendi uzembe toka ndani ya sakafu ya moyo wake.

Orodhesha Taasisi na wizara ambazo zina aina ya hao mabashite nasi tutamfikishia.

Usiogope kwani hakuna atakayeWASIOJULIKANA jf ni sehemu salama.

Wengi tungekamatwa japo tuna Id fake

2020 hakika huta waona.
Wizara zote na Taasisi zake zote na hata Rais mwenyewe analalamika na kutoa mifano mingi kwenye hotuba zake jinsi wachapa kazi wanavyopigwa Vita Serikalini.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom