Sijui Kama Rais Magufuli anajua kuwa Kuna Watumishi Wizarani na Taasisi wana vyeo vikubwa sana lakini uwezo wao kiutendaji ni mdogo sana

Ulichokisema kina ukweli fulani wa asilimia kubwa ingawa sio wote.Na huwa inashangaza inakuwaje alipata cheo hicho kikubwa wakati uwezo ni wa mashaka wakati kuna majembe yapo tu humo ofisini?Siku Mhe Rais akiligeukia hili ndani ya ofisi za umma,zitakuwa na watu sahihi ambao watamsaidia kazi za ujenzi wa Taifa kama ambavyo anapambana yeye kama Rais kuwaletea Watanzania maendeleo.
Tanzania ni moja ya nchi ambayo Watumishi was sekta ya umma kwa maana ya utumishi ndani ya Serikali na Taasisi zake mara baada ya kuajiriwa wamekuwa wakipanda vyeo kama formality kila baada ya miaka mitatu.

Kwa kupitia mfumo huo kuna baadhi ya Watumishi wana vyeo vikubwa sana katika wizara mbalimbali na Taasisi za Serikali na kutumia rasilimali za thamani za Serikali Kama vifaa vya ofisini na magari ya gharama za juu sana huku uwezo wao was kufanya kazi ni mdogo sana kitaaluma.

Wamekuwa ni watu wa kifika tu maofisini kusaini na kusoma magazeti kupitia mafaili mezani kusoma ripoti na kuondoka jioni ofisini bila kuwa na inputs zozote za kufanya mabadiliko ya kimaendeleo kwenye sekta zao.

Kwa mtazamo wangu Mimi hawa Watumishi ni mizigo ndani ya Serikali kwasababu hakuna lolote wanalofanya zaidi ya business as usual.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya baadhi ya vijana walioajiriwa ndani ya hizo wizara na Taasisi na hao viongozi wenye majina na vyeo vikubwa kiutendaji kiasi cha kufanya mambo tasiende vizuri kwa kuona vijana wengi wanajituma sana kupitia taaluma kutaka vitu vitokee ktk utendaji wao lakni mikwamo ni mingi Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuanzie kwake Kichaa na dhalimu kwanza itapendeza.

Sasa kama jiwe mwenyewe kavaa kiatu kinachopwaya itakua watumishi wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani TISS wanafuatilia mambo kiundani Sana ili Kuna viongozi wenye Nia mbaya na maendeleo ya nchi yetu......Safi Sana TISS kwa kazi nzuri....refer hotuba ya Jana ya Mhe Rais Magufuli
 
Back
Top Bottom