Sijui Kama Rais Magufuli anajua kuwa Kuna Watumishi Wizarani na Taasisi wana vyeo vikubwa sana lakini uwezo wao kiutendaji ni mdogo sana

Hii inatokana na aliye na vyeti vingi vya darasani ndio anakaa pale juu....hawaangalii uwezo wa kiutendaji pamoja na mu anazalisha nini,wao wanaangalia una vyeti gani...
 
Sisemi kwa lengo la kisiasa, lakini taasisi inayoongoza kwa viongozi wa kiwango cha chini ni Polisi. Wa pili ni wizara ya elimu, kuna maafisa elimu ngazi ya wilaya hawafai hata kuwa walimu wakuu. Hii yote ni pale serikali ilipoanza kusimika viongozi kwa kutumia vyeti pekee bila kuangalia utendaji. Viongozi huandaliwa na siyo kufuata elimu pekee kwenye vyeti.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau Jw
 
Tanzania ni moja ya nchi ambayo Watumishi was sekta ya umma kwa maana ya utumishi ndani ya Serikali na Taasisi zake mara baada ya kuajiriwa wamekuwa wakipanda vyeo kama formality kila baada ya miaka mitatu.

Kwa kupitia mfumo huo kuna baadhi ya Watumishi wana vyeo vikubwa sana katika wizara mbalimbali na Taasisi za Serikali na kutumia rasilimali za thamani za Serikali Kama vifaa vya ofisini na magari ya gharama za juu sana huku uwezo wao was kufanya kazi ni mdogo sana kitaaluma.

Wamekuwa ni watu wa kifika tu maofisini kusaini na kusoma magazeti kupitia mafaili mezani kusoma ripoti na kuondoka jioni ofisini bila kuwa na inputs zozote za kufanya mabadiliko ya kimaendeleo kwenye sekta zao.

Kwa mtazamo wangu Mimi hawa Watumishi ni mizigo ndani ya Serikali kwasababu hakuna lolote wanalofanya zaidi ya business as usual.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya baadhi ya vijana walioajiriwa ndani ya hizo wizara na Taasisi na hao viongozi wenye majina na vyeo vikubwa kiutendaji kiasi cha kufanya mambo tasiende vizuri kwa kuona vijana wengi wanajituma sana kupitia taaluma kutaka vitu vitokee ktk utendaji wao lakni mikwamo ni mingi Sana.
Mada yako Kiongozi nimeipenda na ipo sawa kwa asilimia kubwa..kitu Serikali tunaiomba ifanye ni kutanua wigo wa kazi kwa vijana Vyuo vinatema kila mwaka..Changamoto ni kwamba hawa Baba/Babu zetu wametengeneza mentality ya kutuogopa vijana sababu ya tofauti za maarifa.Kiuhalisia wana haki ya kupata vyeo ila wanapaswa kushirikisha vijana wengi katika vikao na kuyatazama maoni yao kama kitu chanya,tatizo huja pale wanapojiona mungu watu wanaongoza kwa kufanya watu wahisi "they are Superior" kitu ambacho hawana..Kitu cha Msingi zaidi ni hapo viongozi kukubali Msingi wa kushirikisha Vijana katika uamuzi wenye lengo la taswira ya kitaifa maana baada ya miaka kadhaa hawatakuwa tena humo Ofisini..Hicho basi wasiwe na roho zenye hila
 
Raisi ana mafaili mengi kitandani kwake kutwa kuyapitia na kusaini.

Haijalishi iwe ni ya kuuza nchi yetu nzuri ama kutuletea manufaa.

Ila hapendi uzembe toka ndani ya sakafu ya moyo wake.

Orodhesha Taasisi na wizara ambazo zina aina ya hao mabashite nasi tutamfikishia.

Usiogope kwani hakuna atakayeWASIOJULIKANA jf ni sehemu salama.

Wengi tungekamatwa japo tuna Id fake

2020 hakika huta waona.
Unaposema mabashite mbona umeshawataja? Mmojawapo ni Hugo huyo
 
Wamekuwa ni watu wa kifika tu maofisini kusaini na kusoma magazeti kupitia mafaili mezani kusoma ripoti na kuondoka jioni ofisini bila kuwa na inputs zozote za kufanya mabadiliko ya kimaendeleo kwenye sekta zao.

Kwa mtazamo wangu Mimi hawa Watumishi ni mizigo ndani ya Serikali kwasababu hakuna lolote wanalofanya zaidi ya business as usual.

Mbona una conclude bila TAKWIMU?
wewe ni janga1
 
Mada yako Kiongozi nimeipenda na ipo sawa kwa asilimia kubwa..kitu Serikali tunaiomba ifanye ni kutanua wigo wa kazi kwa vijana Vyuo vinatema kila mwaka..Changamoto ni kwamba hawa Baba/Babu zetu wametengeneza mentality ya kutuogopa vijana sababu ya tofauti za maarifa.Kiuhalisia wana haki ya kupata vyeo ila wanapaswa kushirikisha vijana wengi katika vikao na kuyatazama maoni yao kama kitu chanya,tatizo huja pale wanapojiona mungu watu wanaongoza kwa kufanya watu wahisi "they are Superior" kitu ambacho hawana..Kitu cha Msingi zaidi ni hapo viongozi kukubali Msingi wa kushirikisha Vijana katika uamuzi wenye lengo la taswira ya kitaifa maana baada ya miaka kadhaa hawatakuwa tena humo Ofisini..Hicho basi wasiwe na roho zenye hila
Mleta mada anazungumzia watumishi cum watendaji. Wewe anazungumzia viongozi: wewe ni janga1 kwakuwa unajibu tu na kitiririka kama kasuku ungekuwa mtihani umeshaferi maxims.
 
Mbona una conclude bila TAKWIMU?
wewe ni janga1
Wewe unafikiri kila kitu ni mpaka takwimu.........wewe hujui Kama Tanzania haijawahi kwenda kombe la dunia.....
 
Mada yako Kiongozi nimeipenda na ipo sawa kwa asilimia kubwa..kitu Serikali tunaiomba ifanye ni kutanua wigo wa kazi kwa vijana Vyuo vinatema kila mwaka..Changamoto ni kwamba hawa Baba/Babu zetu wametengeneza mentality ya kutuogopa vijana sababu ya tofauti za maarifa.Kiuhalisia wana haki ya kupata vyeo ila wanapaswa kushirikisha vijana wengi katika vikao na kuyatazama maoni yao kama kitu chanya,tatizo huja pale wanapojiona mungu watu wanaongoza kwa kufanya watu wahisi "they are Superior" kitu ambacho hawana..Kitu cha Msingi zaidi ni hapo viongozi kukubali Msingi wa kushirikisha Vijana katika uamuzi wenye lengo la taswira ya kitaifa maana baada ya miaka kadhaa hawatakuwa tena humo Ofisini..Hicho basi wasiwe na roho zenye hila
Watumishi wanatakiwa kubadili ili kufanya kazi kwa viwango vya juu kabisa na kuleta mabadiliko ktk sekta zao Kama Mkuu wa Chuo Cha Usafirisha NIT Prof Zakaria Mganilwa ameboresha Sana na kuleta mapinduzi makubwa ktk taaluma ya Usafirisha kufikia mpaka kuanzisha kozi ya Urubani na Serikali inamnunulia ndege tano za kujifunzia wanafunzi.

Tunajitaji watu Kama hao kwenye utumishi was umma hata sekta binafsi.we need positive changes sio bussiness as usual
 
Mleta mada anazungumzia watumishi cum watendaji. Wewe anazungumzia viongozi: wewe ni janga1 kwakuwa unajibu tu na kitiririka kama kasuku ungekuwa mtihani umeshaferi maxims.
Inabidi usome vizuri nilivyoandika yawezekana ulikuwa umegusa liquor kidogo au pengine neno kiongozi unahisi linatumika kwa wanasiasa tu hahaha..nishafeli mitihani kibao ya walimu kama wewe..mtu mkubwa kama wewe unataka niandike kitu nipo uchi ndio uelewe.Nakupa mifano; Mkurugenzi ni kiongozi wa taasisi fulani,Meneja ni kiongozi wa mamlaka fulani n.k
 
Back
Top Bottom