katokumbi
Senior Member
- May 19, 2012
- 195
- 76
Yaan watanzania tunapotaka kumdidimiza mtu bwana huwa tunamuangalia kila baya lake lakini yule tunaempenda hatuna muda wa kuangalia mabaya ila ni mazuri tu tunayomsifia, Haya sasa kila kona ya website mnamuongelea Slaa tu hivi hamuoni mabaya ya Raisi wenu wa sasa eeh?