Sijui huwa tunakosa cha kuongea au ni ulimbukeni tu!

katokumbi

Senior Member
May 19, 2012
195
76
Yaan watanzania tunapotaka kumdidimiza mtu bwana huwa tunamuangalia kila baya lake lakini yule tunaempenda hatuna muda wa kuangalia mabaya ila ni mazuri tu tunayomsifia, Haya sasa kila kona ya website mnamuongelea Slaa tu hivi hamuoni mabaya ya Raisi wenu wa sasa eeh?
 
Hilo swali muulize yeye Bw.Slaa mbona kila kukicha anawaita wenzake Mafisadi na ushahidi hatoi? Yeye ndiyo aliyeanza sasa wenzake wanamalizia!
 
Yaan watanzania tunapotaka kumdidimiza mtu bwana huwa tunamuangalia kila baya lake lakini yule tunaempenda hatuna muda wa kuangalia mabaya ila ni mazuri tu tunayomsifia, Haya sasa kila kona ya website mnamuongelea Slaa tu hivi hamuoni mabaya ya Raisi wenu wa sasa eeh?
Wanamsifia sasa hivi kwa sababu ya ulaji kwenye safari na ufisadi mwingine kama kwenye halmashauri na kwingineko wakati jamaa anacheka cheka tu,ngoja amalize muda wake ndio utawajua watanzania kama kina komba wanaotoka mapovu!!!
 
Ngoja tuone
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom